Hee na wewe mgomvi lolHii ni taarifa au?
Hatujabisha mbona?
Umekaa ukafikiri wee ukaona hapa jf ndo unaweza ukaweka uongo wako na watu wakakusapoti kwa huo uongo usioeleweka, ucjue waloko humu jf ni ma great thinker!
Ok kwa namna hiyo kichaa chake kitakuwa kinapanda na kushuka so kikitulia anakuwa na hamu ya mapenzi na kuelewanaNafikiri mapenzi ya familia yalimfanya kutulia kidogo...lakini anapiga sana kazi za nyumbani (si ngono) kifupi si mvivu
Hata KUPENDA ni aina ya kichaa, kwa hiyo kama na wewe unamonea wivu mtu wako una elements za kichaa pia.
Mtu akiwa na excessive wivu wa mapenzi unakuwa ni PATHOLOGICAL ambao unapelekea mtu kuwa na IRRATIONAL reasoning. Hicho ni kichaa tofauti hapa ni degree ama intensity
Kwa hiyo usimcheke yule kichaa na wala usishangae as no one is free from craziness or mania.
:A S wink:
Huyo basi ana afadhali sana...kuna vichaa wengine wao ni kurusha mawe mwanzo mwisho hawajali wewe ni nani wala nini na wengine wao ni kubeba makopo....hope huyu ana afadhali sanaNafikiri mapenzi ya familia yalimfanya kutulia kidogo...lakini anapiga sana kazi za nyumbani (si ngono) kifupi si mvivu