Hata ungekuwa wewe

mwagisa

Member
Jun 24, 2012
47
3
Kuna wa2 wanakera katika jukwaa hili kuna wengine wanao kejel post za watu wengine hata kama m2 kapost kwa lengo la kutaka msaada au ushaur na kuna wengine haipit cku hawaja post kitu hata kama cha kijinga akiamua 2 anapost hata kama hakina mbele wala nyuma na kuna wa2 waho kaz yao ni kutunga story na kubk kuangalia wa2 wanasemaje imefika mahal inaker kama kuna m2 inamker kama mm tufanyaje il w2 hawa wawe wanapost v2 vya msing pamoja na kuheshm post za watu wengine
 
Kuna wengine wanaanzisha post na kuandika lugha za kifesibuku bila kujali wenzao tumeshazeeka vicjwa havikamati net haraka. Nao wanakera, hata ungekuwa wewe!
Anyways, mwagisa ni jina la mkoa gani vile?
 
ni kweli kuna watu wanapost vitu vinavyochafua nafsi, lakini utafanyaje watu tunatofautiana upeo!
 
watu wana-comment kulingana na habari husika, ingawa wengine wana jokes nyingi, lakini cha muhimu ni kuleta nyuzi za maana na kuelimisha zaidi, na zile za burudani basi zisipindukie mipaka ya ujinga!!
 
Kuna wa2 wanakera katika jukwaa hili kuna wengine wanao kejel post za watu wengine hata kama m2 kapost kwa lengo la kutaka msaada au ushaur na kuna wengine haipit cku hawaja post kitu hata kama cha kijinga akiamua 2 anapost hata kama hakina mbele wala nyuma na kuna wa2 waho kaz yao ni kutunga story na kubk kuangalia wa2 wanasemaje imefika mahal inaker kama kuna m2 inamker kama mm tufanyaje il w2 hawa wawe wanapost v2 vya msing pamoja na kuheshm post za watu wengine

Nawe unakera sasa unachanganya namba badala ya herufi, unafundisha nini wadogo zako walioko humu. wala sisomi post yako in this nasty style!
 
Mi nakereka watu hawaleti mada mpaya mara kwa mara, basi kunadororaaa mda mwengine. Naingia humu na hamu ya kupunguza stress nakuta post zile zile nilishacomment. Watu walete mambozzz tuyachakachue!!! Oppppppppppps kumbe lugha za kihuni zimekatazawa?
 
Kuna wa2 wanakera katika jukwaa hili kuna wengine wanao kejel post za watu wengine hata kama m2 kapost kwa lengo la kutaka msaada au ushaur na kuna wengine haipit cku hawaja post kitu hata kama cha kijinga akiamua 2 anapost hata kama hakina mbele wala nyuma na kuna wa2 waho kaz yao ni kutunga story na kubk kuangalia wa2 wanasemaje imefika mahal inaker kama kuna m2 inamker kama mm tufanyaje il w2 hawa wawe wanapost v2 vya msing pamoja na kuheshm post za watu wengine

Ni sawa unalolisema Mkuu.., alafu cha ajabu kabisa watu wanamgongea kile kitufe cha upande wa kulia...it's real amazingly!!!
 
Inawezekana ni kwa sababu tumetofautiana sana katika kufikiri na uwezo wa kuchambua mambo na pengine hata kutoa vipaumbele na kuzielewa mada vizuri ...

All in all, jitahidi kusoma yale unayoyaona kuwa ni ya msingi kwako na pia yana tija katika maisha yako ya kila siku, mengineyo we yapotezee maana kumbuka hatuna namna yeyote ile ya kuwaondoa watu wenye huo mtazamo unaouzungumzia katika jukwaa hili.
 
Kuna wengine wanaanzisha post na kuandika lugha za kifesibuku bila kujali wenzao tumeshazeeka vicjwa havikamati net haraka. Nao wanakera, hata ungekuwa wewe!
Anyways, mwagisa ni jina la mkoa gani vile?

hata mm sielew ni kat ya iringa au tanga cunajua babu ze2 hawaelew wapo mjn bt da reel place whr he iz born hapaelewek
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom