Shukrani zimwendee Mama Ana Mkapa aliyemfadhili "kiaina" kijana mdogo Msaki na kutuletea hii makitu maeneo ya karibu. Mlimani City byebye!!
SHukurani Kwan Mana Ana Mkapa:target::target::target::target::target:
Chezeiya Manka weye?hahahah! MINDE CLAN bana iko juu.
Chezeiya Manka weye?
kazi ipo!! Nikijaga kwa mama, hapo mie natembea tu kwa miguu, kwa kweli wamerahisisha mengi!
Afu inakuwaje unakuja kwa mama bila hata kunibeep?Kazi ipo!! Nikijaga kwa mama, hapo mie natembea tu kwa miguu, kwa kweli wamerahisisha mengi!
Hapa si Gonja Maore kweli?Hata kwetu mbona tunayo shopping mall?
Hata kwetu mbona tunayo shopping mall?
Uzuri wa hii shopping mall bei inaweza kuanza na buku mbili na ukanunua bidhaa kwa mia mbili.Hata kwetu mbona tunayo shopping mall?
Kazi ipo!! Nikijaga kwa mama, hapo mie natembea tu kwa miguu, kwa kweli wamerahisisha mengi!
mwambie mapemaaaaaaa huyo mage, kuwa kuna mtaalamu wa kunyonya macho bila ganzi! Akuache mume wangu ujinyweeeee kwa raha zako, sitaki ku-share mie!afu inakuwaje unakuja kwa mama bila hata kunibeep?
Pale juu kuna dansi linapigwa ijumaa mpaka jumapili. Hiki kiuno changu ndo huwa nakilainishiaga pale.
Kuna mhudumu mmoja pale anaitwa marge..... Naona ana mpango wa kunivunjia ndoa yangu...khaaaa!!
Afu inakuwaje unakuja kwa mama bila hata kunibeep?
pale juu kuna dansi linapigwa Ijumaa mpaka Jumapili. Hiki kiuno changu ndo huwa nakilainishiaga pale.
Kuna mhudumu mmoja pale anaitwa Marge..... naona ana mpango wa kunivunjia ndoa yangu...khaaaa!!