Hata siamini kama nimenasa

What is the messege behind the story
??kututamanisha au ???? mimi mgumu kuelewa ujue
 
Aisee unaweza kuta huyo ndo mchumba wa mtu mwingine,imagine hapa anamsifia mchepuko wake na baadaye akirudi kwa jamaa blaa bllaa ur so sweet,I love u !

Shiti .kumbe Kasinde nawe ni maharage ya Mbeya hivyo. Kweli wewe ni kicheche. Mara tutaanza kukuona kwenye porn graph
 
Inawezekana ndiyo strategy yako ya kukusanya karo.maana si umeenda huko kupiga shule kimagumashi
 
Aisee unaweza kuta huyo ndo mchumba wa mtu mwingine,imagine hapa anamsifia mchepuko wake na baadaye akirudi kwa jamaa blaa bllaa ur so sweet,I love u !

hahaha ni shideer umenichekeshaje
 

Haahaa! Gegedo lilikuwa la kutosha mpaka usimulie.!
Amekukosha ukakosheka.! Gosha ukagosheka.!
Weka ukawekeka.!
Now unafunguka.!
 
Duuh umegongwa!!! kisha unakuja humu kujisifu.You are so cheap
 
huko kwa ubama magonjwa kama hiv huwa hamna sana kama sub sahara Africa nikiwa huko mm nikutembea peku tu mwanzo mwisho
 
One night stand and u are thinking of being in love,seriously!! There is one thing about us men my dear,if he screwed u on the very same day u first met then 90% of his thought at the moment is u er a.......... (That word which starts with B).

He can't wait for u to leave his house and US eventually caz anajua utamganda.Kama hatokuwa anawaza hivyo then atakuwa kavutiwa na sex wala hajavutiwa na wewe kama ambavyo wewe umevutiwa na game yake.
 
we Kasinde amka basi utumalizie wenzako uhondo...mweeh!!!!!
 
Last edited by a moderator:
From crush in Tanzania to being laid in USA! Good progress Kasinde.
 
Last edited by a moderator:
Freedom of choice...kwa raha zako kasinde...mie penda ww unajiaminii na kujikubalii..anayekuponda hana lolotee!!YOLO
 
Uzuri wa JF hakuna mtu anaishi kwa Mtogole,Kwa Binyau,Tandale,Buguruni,au Mbagala!Wote wako mamtoni!Na hakuna hasiye na usafiri wa maana,baiskeli,au mtu amepanda daladala,thubutu,watu wote JF wanadrive tena Range or Harmer!!

Hongera bi dada,siku ya kwanza kuonana tu na pichu umevua na tena umenasa?!Safi sana,mapenzi hayachagui lini,wapi na nani,sio eheee??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…