CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,929
hata huku kuna ufisadi wa kufa mtu, lakini cha kustaajabisha ni ya kuwa mawaziri wetu wanawajibika zaidi na permanent secretaries ndio wanaofanya the bulk of the work in the ministries. wananchi na civil organisations wanashinikiza serikali kutekeleza ahadi zao, sisi Kenya tuko na vision 2030, in as much as we will not reached the target we had set on the blueprint, atleast we will have developed much.
ninacho jaribu kusema ni ya kuwa, sisi kama wananchi tuna wajibu wa kuhakikisha ya kuwa ahadi ambazo wanasiasa wanatupatia lazima watekeleze, maendeleo inaanza na sisi kama wananchi, tusitegemee walafi kule bungeni watushugulikie na wakumbuke kila wanacho ahidi, ni wajibu wetu kupigania na kuandamana ikiwezekana ili tunachotaka kifanikiwe.
Ijumaa karim

Hawa viongozi wetu hawajui chochote zaidi ya ufisadi. Wanafikiri kwa kutumia matumbo yao badala ya bongo zao. Usishangae ukasikia wanataka kujenga uwanja wa ndege Kariakoo au Karume. Lakini mimi nasema na nitaendelea kusema kuwa haya yote tunayataka Watanzania wenyewe. Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi mara ngapi tumepata fursa ya kuibadilisha hali hii, lakini kwa kuhongwa kilo ya mchele, kitenge na bia moja tunawaachia magamba waendelee kuitafuna nchi. Tukumbuke, "Mtu hawezi kukupandia mabegani ikiwa hukuinama". Sisi tunakubali kuinama ndio maana magamba wanatupandia mpaka vichwani.Huu wa kwetu ulitakiwa ujengwe sehemu kama mkuranga hv mbali na mji sasa nashangaa tena wanauweka mjini hii ni kuongeza msongamano kitu ambacho kitasumbua jiji la Dar mpaka sasa. Lakini nani muhusika mkuu wa hili? Huu mji uko shaghala baghala kila siku uozo mpya unazuka shem on u muhusika,.......Hamna haja ya kujenga terminal III kipawa there is no reason inatakiwa uwekwe nje ya jiji mbali kabisa kama vilivyo vya wenzetu.
The necessary and sufficient condition for TZ dev. be it social,economic or otherwise is to throw ccm overboard with dead weight tied to its feet.So what needs to be done in order for Tanzania to catch up other countries?
Hakuna nchi inayoendelea kwa uchumi wa kitalii.Nchi ukiona inatilia mkazo eti kukuza uchumi kupitia utalii basi ujue viongozi wake wamefilisika kimawazo.
Ulikuwa umelewa wakati unaandika haya maneno au hujui unalosema?Hakuna nchi inayoendelea kwa uchumi wa kitalii.Nchi ukiona inatilia mkazo eti kukuza uchumi kupitia utalii basi ujue viongozi wake wamefilisika kimawazo.
Unazungmuzia KIA, what has it done so far for this country...ooh i had forgotten smuggle wildlife uarabuni... KIA ingetumika vizuri tungekuwa mbali lakini its just a wastage of money and resources....ukienda pale KIA utajiuliza kama kweli this is an International Airport...ni kama airstrip...Ivi kenya kujenga kiwanja apo Taveta maana yake nini ili shirikisho jamani latufaa kweli wakati wanajua fika KIA IKO KARIBU APO