Hata mimi sielewi

Hata mimi sielewi

ex-man

Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
64
Reaction score
46
Daa huyu bodaboda sijui kaponea engo gani!!!
FB_IMG_15226998563958852.jpg
 
Kulia si kuna kachochoro hapo ama macho yangu?hata kushoto poa tu ila sio kukutana na hiyo midude
 
Kulia si kuna kachochoro hapo ama macho yangu?hata kushoto poa tu ila sio kukutana na hiyo midude
Linganisha speed ya hizo midude, je ni rahisi kuchepuka pembeni kwa haraka?
 
Mimi namshangaa huyo dereva anayeovateki.
 
Hiyo inayoovateki kama imesimama vile, ila kama inatembea hata gari ndogo nayo ni shida
 
Anaeovateki possibility arirudi site yake angalia picha vizuri bado yupo nyuma hajaliacha basi analotaka kulipita
 
Anaeovateki possibility arirudi site yake angalia picha vizuri bado yupo nyuma hajaliacha basi analotaka kulipita
Kama yuko mwendo hawezi kurudi sehemu ndogo na magari yote yako kwenye mwendo.likiwamo gari dogo na bodaboda.
 
Back
Top Bottom