Hata mi sijaelewa

Hata mi sijaelewa

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,618
Reaction score
27,596
Mnaojua Kiswahili msaada plz!!!!
Screenshot_2018-09-25-18-06-01.jpg
 
Elezea tuelewe
ni ngumu kidogo kuelewa kama haukuwa eneo la tukio au kumsikiliza jamaa akielezea kwa njia ya video
Ipo hivi huyo mhandisi wa kivuko alijifungia ndani ya hicho kivuko upande wa karibu na injini ambapo kiuhalisia maji hayakuingia, sasa ile siku ya pili ya uokoaji ndio wakasikia sauti mtu anagonga, lakin kulikuwa na upenyo mdogo ambao hakuweza kupita, kwahiyo wakatumia huo upenyo kuwasiliana nae na pia kumpa chai maana alikuwa na njaa ya siku mbili huku wakifanya jitihada za kuvunja na kwenda kumuokoa.
 
ni ngumu kidogo kuelewa kama haukuwa eneno la tukio au kumsikiliza jamaa akielezea kwa njia ya video

Na kuwasiliana nae kwa kuandika karatasi
 
Sasa angeandika kama hivi ulivyoandika wewe angeeleweka tu....unadhan ulichoandika wewe ndicho alichoandika jamaa hapo
 
Waandishi wetu wachovu sana, sijui alikuwa anawahi wapi?
 
Back
Top Bottom