Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,878
- 4,427
Wanawake watakuja kukutafuna shauri yako. Mimi karibia wanimeze kuhusu kashfa ya MPOPO aliyetangulia mbele za hakiKwenye safari ya kwenda mbinguni, hata mchungaji wangu simuamini.
Simuamini kila mtu anayesema BWANA BWANA BWANA. Ishu ya kwenda mbinguni ipo ndefu sana.
Nawakumbusheni, hao wachungaji, mashehe ni binadamu kama wewe, wanakwenda chooni, wanakula, wanakasirika, wanafanya dhambi na kadhalika.
Usimchukulie mtumishi wa Mungu ni malaika. Watu wakishikwa kwa skendo za uzinzi, wizi, fitina ama uchawi, kwangu kawaida tu.
Muimba kwaya naye mwizi, mzee wa kanisa naye mchawi. Niliyaona haya yote so sishangai sana.
Halafu mnashindwaga kujua kitu kimoja.
Kuna nguvu za Mungu na nguvu za giza.
Mungu anakuponya, naye shetani anakuponya, ila kukuponya kwake kwa muda tu.
Mchungaji anakuombea, pepo linatoka, naye mganga anakuagua jini linatoka.
Braza.
Muamini Mungu wako.
Usifikiri mchungaji wako ni Mungu ama malaika.
Kuna siku utaamini ukisikia mtumishi wako anakula kondoo safi kabisa.
Safari ya mbinguni yako peke yako.
Mimi kumwamini mchungaji yeyote niliacha tangu nilipoanza kufuatilia haya mambo kiundani.
Aya mkaangalie series ya 30 COINS mjifunze kwa undani kuhusu kanisa, shetani anavyolitumia kufanikisha mambo yake na kuua watu.
Kama Ile ya "never meet your heroes, you will be disappointed"Ukitaka imani yako iwe na dosari anzisha urafiki na kiongozi wa dini.
Mwenyewe pia hupaswi kujiamini 100% maana overconfidence na low confidence ni janga kwa Binadamu yeyote.Kwenye safari ya kwenda mbinguni, hata mchungaji wangu simuamini.
Simuamini kila mtu anayesema BWANA BWANA BWANA. Ishu ya kwenda mbinguni ipo ndefu sana.
Nawakumbusheni, hao wachungaji, mashehe ni binadamu kama wewe, wanakwenda chooni, wanakula, wanakasirika, wanafanya dhambi na kadhalika.
Usimchukulie mtumishi wa Mungu ni malaika. Watu wakishikwa kwa skendo za uzinzi, wizi, fitina ama uchawi, kwangu kawaida tu.
Muimba kwaya naye mwizi, mzee wa kanisa naye mchawi. Niliyaona haya yote so sishangai sana.
Halafu mnashindwaga kujua kitu kimoja.
Kuna nguvu za Mungu na nguvu za giza.
Mungu anakuponya, naye shetani anakuponya, ila kukuponya kwake kwa muda tu.
Mchungaji anakuombea, pepo linatoka, naye mganga anakuagua jini linatoka.
Braza.
Muamini Mungu wako.
Usifikiri mchungaji wako ni Mungu ama malaika.
Kuna siku utaamini ukisikia mtumishi wako anakula kondoo safi kabisa.
Safari ya mbinguni yako peke yako.
Mimi kumwamini mchungaji yeyote niliacha tangu nilipoanza kufuatilia haya mambo kiundani.
Aya mkaangalie series ya 30 COINS mjifunze kwa undani kuhusu kanisa, shetani anavyolitumia kufanikisha mambo yake na kuua watu.
Ati mtu anakwenda kuungama mbele ya bnadamu mwenie?? SeriouslyKwenye safari ya kwenda mbinguni, hata mchungaji wangu simuamini.
Simuamini kila mtu anayesema BWANA BWANA BWANA. Ishu ya kwenda mbinguni ipo ndefu sana.
Nawakumbusheni, hao wachungaji, mashehe ni binadamu kama wewe, wanakwenda chooni, wanakula, wanakasirika, wanafanya dhambi na kadhalika.
Usimchukulie mtumishi wa Mungu ni malaika. Watu wakishikwa kwa skendo za uzinzi, wizi, fitina ama uchawi, kwangu kawaida tu.
Muimba kwaya naye mwizi, mzee wa kanisa naye mchawi. Niliyaona haya yote so sishangai sana.
Halafu mnashindwaga kujua kitu kimoja.
Kuna nguvu za Mungu na nguvu za giza.
Mungu anakuponya, naye shetani anakuponya, ila kukuponya kwake kwa muda tu.
Mchungaji anakuombea, pepo linatoka, naye mganga anakuagua jini linatoka.
Braza.
Muamini Mungu wako.
Usifikiri mchungaji wako ni Mungu ama malaika.
Kuna siku utaamini ukisikia mtumishi wako anakula kondoo safi kabisa.
Safari ya mbinguni yako peke yako.
Mimi kumwamini mchungaji yeyote niliacha tangu nilipoanza kufuatilia haya mambo kiundani.
Aya mkaangalie series ya 30 COINS mjifunze kwa undani kuhusu kanisa, shetani anavyolitumia kufanikisha mambo yake na kuua watu.
funguka zaidiNi mwaka jana mwezi wa 11, nimetoka kugundua mtu niliyemwamini akiwa ni Mchungaji, alikuwa akipiga cm ataniomba Hela, Ile Hela sijui anaipeleka Kwa wachawi ama Yeye ni mchawi, lakini kuna uharibifu ulikuwa unatokea kwenye shughuli zangu mara tu baada ya kumtumia Hela
Kabisa wachungaji 98% wanafanya biashara makanisani ni salama kumwendea Yesu Kristo moja kwa moja hakuna yeye ndio mshenga pekee hakuna mwingine.Kwenye safari ya kwenda mbinguni, hata mchungaji wangu simuamini.