Mamlaka zinazohusika zinapaswa kupaangalia hapa.
Lilianza kama shimo dogo, lakini linazidi kujitanua.
Ni kwenye daraja Dogo, baada ya daraja kubwa la chuma. Barabara ya Kinyerezi
Mkuu hapo usiwe na presha patatengenezwa upya na patakuwa kama ulaya lakini mpaka hapo tutakapo maliza mchakato wa katiba ya viangozi na siyo ya wananchi na uchaguzi wa viongozi wa watoto wao hapo tena basi