Hata mbuyu ulianza kama mchicha

Hapo chumba kimoja tayari baadae atachimba tena msingi aunge ukuta zaidi hadi nyumba iishe😁😁
 
Hizi purukushani za Bi Mikopo zimeanza kuwafumbua macho raia wengi. Hadi 2025 watu watakuwa wanatembelea praiveti jeti ama chopa. Anyways, kila ^mbuzi^ ale kulingana na urefu wa kamba yake. Ukiona kamba yako ni fupi, basi kasokote uongezee.
 
Hapo chumba kimoja tayari baadae atachimba tena msingi aunge ukuta zaidi hadi nyumba iishe😁😁
Naambiwa huku kwamba hiyo ni ofisi ya mlinzi litakapokuwa geti kubwa; nyumba main yenyewe msingi ndio huo hapo pembeni. Huu ubunifu Marekani yote anauweza Elon Musk mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…