Hata mbuyu ulianza kama mchicha.

Ha ha ha!
Lakini mbuyu ulipokuwa Kama mchicha ulikuwa haujakomaa!
Sasa huyo jomba keshakomaa halafu bado ni mchicha
 
Hicho kitambi....!!!! Hakitapungua
 
ukosefu wa vifaa vya kisasa
ukosefu wa instructor mzuri ktk mazoezi unakufanya kuwa mwenye umbo la ajabu

watu wanamatumbo sehemu iliyo gawanyika ni kifuani tu wengine mikono imenyoka kama sijui nini ila mabega yametuna utadhani yameshindiliwa viaz mbatata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…