Heavy equipment
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,446
- 989
Habari:
Bado tunaendelea kufuatilia matukio yanayoendelea ya sakata la madawa ya Kulevya.
Kila mtu anaongea kivyake
Mara oooh makonda yupo sahihi kuwataja watu na kutakiwa polisi!!!!
Mara oooh makonda hakuwa sahihi kuwataja watu!!!!!!!
La msingi ni kwamba mtumishi wa BWANA GWAJIMA ametoka polisi toka alipotakiwa kuripoti.
MAKONDA anasema anaongozwa na mungu katika vita hii ya kupambana na madawa ya kulevya.
Namshauri MAKONDA kesho jumapili aje kanisa la UFUFUO WA UZIMA tuombe pamoja kwa kuwa Vita hii inataka maombi mazito na MCHUNGAJI GWAJIMA ndiye anatuongoza kwa maombi hayo.