The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,233
Juzi majaliwa alikuwa anazungumza mambo mbali mbali kuhusu Mpira
na michezo kiujumla
tukumbuke pia kuwa majaliwa ni kocha wa football
na mwanachama wa TAFCA...
watu wengi wanafikiri Majaliwa atafanya kitu kuhusu football ya TZ
kiukweli mimi naona anatakiwa asijihusishe kabisa na TFF na football
ya kiwango cha juu
yeye ajihusishe na michezo mashuleni,ma vyuoni baasi
huku kwingine the less government intervention the better
moja ya matatizo ya mpira wa TZ ni vyama
kuna vyama viingi vinavyopewa jasho la mpira huku vyenyewe vikiwepo
tu kazi kula tu
leo simba na yanga inacheza
kesho utasikia makato yao yameenda TAFCA,DRFA ,vyama vya wilaya
vya marefa na kadhalika......
huu wote ni unyonyaji...na ni system iliyokaa kisiasa zaidi....
simba na yanga zitaingiza milioni 400
lakini nusu ya fedha itaenda kwa vyama hivi.....hizi ndo siasa zinazoharibu mpira
majaliwa asaidie kuondoa haya akitaka