Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,732
well said aisee
binafsi naita huo ni uchafu... Utaandaliaje wengine chakula wakati hujaoga, hujanawa, domo limevunda, kwapa ndio usiseme, halafu kibaya zaidi mtu unakuta amevaa kanga moja, minywele kaiachia kila kona
pufffffffff
au wale anachana au kurekebisha nywele huku anazunguka nyumba nzima
kuanzia chumbani,jikoni ,sebuleni na wengine mpaka nje..lo
Nilishawahi kwenda mtembelea mtu....akanikaribisha chakula cha mchana....wakati anaendelea kupika...mwanae akajisaidia....basi bi dada kaenda kumuhudumia mwanae....kamuosha vizuri then akaja kukamua nazi.....nilituma msg kwa rafiki yangu saa hiyo hiyo anipigie simu ya dharura.....nikaondoka.....
kwetu uswahilini unaenda asubuhi dukani kununua maziwa....muuzaji anakuja kukupimia huku anapiga mswaki.....
unakwenda kununua mandazi....mama muuza ana paka....paka anazunguka karibu na mandazi...anamshika anamtupa kule....halafu anaendelea kukuhesabia mandazi kwa mikono.....

khaaaaaaa! Bibie hujambo?
sijambo bi dada....khabari za Mpwapwa?....hivi huko hakuna wanaokukera.....?
mhhhhhhhh na wewe unatoa viwili?????
yaani mpwapwa shwari kabisa. Huku wote wananchekesha. Vipi yaeda? Mvua zinanyesha?
Yaeda kunanshangaza.....jua kama kiama....twafa huku....nimeshaanza kugawa urisi....
Boss
Hii nyingine inanikera pale jamaa alienda majuu kakaa US sijui miaka 7 tu karudi basi hiyo accent ya kiswahili eti nayo imebadilika kwa saaaanaaaaa. Yaani ni kichekesho pale at times anajisahau huwa anaongea kiswahili bila accent yoyote ndipo unatake note hii accent ni ya kujitakia. Halafu kuna watu walilowea US toka 1960's and 1970s na wanaishi huko hadi leo hii na wakijakutembea bongo once in a while mnakaa nao kupiga lager kiswahili chao murua tuu na hakina accent za kujitakia
Misifa ya kijinga