Hata kutengeneza marafiki ni shida..

bbwaoy

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2015
Posts
466
Reaction score
468
Nina mpenzi wangu. Kosa aone picha ya kike kwenye simu ni shida ,zaidi ya balaa madai eti ni niwanawake zangu, I am a man bhana marafiki wakike nawa hitaji pia. Maadam huja kuta chochote kibaya mwanamke tulia... Bora picha kini ongea na marafiki zangu wa kike, utasikia ...mbona una ongea nae huyo kima haba.... Kama una mbembeleza vile.... Damn it !!!
 
HUYO ANAKUPENDA SANA NDIO MAANA ANA WIVU SANA
 
Wivu ukivuka kiwango ni kero hujui tu mkuu...unaanza kuishi kwa mashaka mashaka
 
Simply hajiamini...

Na wewe ukiwa na marafiki wa kike kwani haitoshi kuwaangalia wa macho mpaka uwapige picha?
 
Simply hajiamini...

Na wewe ukiwa na marafiki wa kike kwani haitoshi kuwaangalia wa macho mpaka uwapige picha?
Picha wana tuma wao... Mimi sio mpenzi wa picha, yangu mwenyewe kupiga ni mtihani...muda waku wapiga nau pata wapi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…