Hata kama !

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,117
 

Attachments

  • 1418015914847.jpg
    7.1 KB · Views: 946
Huyu atakuwa ndugu moja na His Excellency Presidaa Olusegan Obasanjo kwa upande wa baba Mkubwa!
 
Hata kama meno yangu kama jersey za yanga ila nitamuoa miss neddy....!!

nb sio mimi utafiti usinifikirie vibaya
 
Last edited by a moderator:
watu kama hawa vijijini ni muhimu sana haswa nyakati za kufungua soda au bia...
 
huyu akikung`ata ndani ya dk 10 hujachoma tetanas basi ujue utapata ugonjwa ambao utaisumbua dunia zaidi ya ebola.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…