jchofachogenda JF-Expert Member Jan 8, 2012 537 123 Jun 21, 2012 #1 Fuateni utaratibu wa kazi yenu,hata kama ni mtuhumiwa ana haki zake.Upelekaji wa aina hii haukubaliki hata kwa wanyama sembuse binadamu mwenzenu. Attachments 058.JPG 16.4 KB · Views: 175
Fuateni utaratibu wa kazi yenu,hata kama ni mtuhumiwa ana haki zake.Upelekaji wa aina hii haukubaliki hata kwa wanyama sembuse binadamu mwenzenu.
Vegetarian JF-Expert Member Apr 7, 2012 651 495 Jun 21, 2012 #3 Maaskari wengi bado hawazingatii haki za watuhumiwa wakijiaminisha kuwa raia ni mahamuma wa sheria. Ndiyo maana utawakuta wakiwatesa,kuwapiga hata kuwadhalilisha kama hivyo,itabidi waheshimu haki ya watuhumiwa bila kuangalia maslahi binafsi.
Maaskari wengi bado hawazingatii haki za watuhumiwa wakijiaminisha kuwa raia ni mahamuma wa sheria. Ndiyo maana utawakuta wakiwatesa,kuwapiga hata kuwadhalilisha kama hivyo,itabidi waheshimu haki ya watuhumiwa bila kuangalia maslahi binafsi.
King’asti Platinum Member Nov 26, 2009 27,823 24,786 Jun 21, 2012 #4 Si bora hii kuliko ile ya kubebwa kipwinto?
Hamsel Senior Member Nov 15, 2011 116 83 Jun 21, 2012 #5 Kama alikua analeta usumbufu sana askari wamfanyeje..?
SILENT WHISPER JF-Expert Member Jun 26, 2009 2,209 821 Jun 21, 2012 #7 mtikila huwa anawaita hawa mbwa wa sisiemu!
stineriga JF-Expert Member Jun 20, 2012 2,172 886 Jun 21, 2012 #8 kudadadeki, mtu anabebwa kama ka-mnyama vile!
TIQO JF-Expert Member Jan 8, 2011 13,787 2,078 Jun 21, 2012 #9 Bora hiyo kuliko ile Tanganyika jeki anatembelea kucha
Mtagwa lindi JF-Expert Member Mar 12, 2012 311 96 Jun 21, 2012 #10 watanzania hamna jema kama kakataa kuondoka wamfanyaje wakimuacha tunasema wale nyanya tu kunawatu watata jamani au toeni pendekezo akikataa wafanye vp?
watanzania hamna jema kama kakataa kuondoka wamfanyaje wakimuacha tunasema wale nyanya tu kunawatu watata jamani au toeni pendekezo akikataa wafanye vp?
MadameX JF-Expert Member Dec 27, 2009 7,792 3,848 Jun 22, 2012 #11 Policemen wa kibongo ni wanyanyasaji sana, si amtie pingu tu fujo atazifanya vipi.