Hata Kama Mnaiba, Kwa Hali Hii CCM Oneni Aibu!

Hao wote umewahakiki ukajua kuwa wana vitambulisho vya mpiga kura?

Kikubwa zaidi, umejuaje kuwa hao wataenda kupiga kura?

Unanikumbusha "mafuriko ya Lowassa".

Mimi nilidhani "mafuriko ya Lowassa" yangewapa elimu sahihi!

Kigezo cha Ushindi sio mikutano ya hadhara pekee bali maandalizi kuanzia utambuzi wa wapiga kura mpaka watakaojitokeza kupiga kura.

Halafu hiyo uliyoweka sio video ya ufungaji wa kampeni za CCM jimbo la Ukonga.

Hii ndio video halisi ya ufungaji wa kampeni za CCM Ukonga.

Sasa kama hali ya kufunga kampeni ndio hii kisha MTU bila aibu anasimama na kusema CCM imeshinda kwa vile iko mioyoni mwa watu si ni kutomwogopa Mungu huko?
Oneni aibu basi!

Kiuzoefu tu ni kwamba kwa CCM umeona Watu siyo wengi kwakuwa tayari Wananchi wameshajua Chama kinafanya nini na wamependezwa na juhudi zake za Kimaendeleo hivyo wengi wao wameenda Kuwajibika na Kujenga nchi kama Sera ya CCM ilivyo ila huko kwa CHADEMA unaona kumejaza hivyo kwakuwa Watu wanataka kuona wanataka ' Kuongopewa ' nini tena safari hii kama ilivyokuwa kwa mwaka 2015 vile vile wengi wao hapo hawana Kazi za kufanya halafu kuna ambao waliahidiwa Pesa zao wakati wa Kampeni mwaka 2015 hivyo mpaka leo bado ' wanazisotea ' na wamekuja hapo kwa uwingi hivyo ili Mkutano ukimalizika tu ' wamkabe ' shati Mbowe na wengineo waliopo hapo jirani.
 
Hao wote umewahakiki ukajua kuwa wana vitambulisho vya mpiga kura?

Kikubwa zaidi, umejuaje kuwa hao wataenda kupiga kura?

Unanikumbusha "mafuriko ya Lowassa".

Mimi nilidhani "mafuriko ya Lowassa" yangewapa elimu sahihi!

Kigezo cha Ushindi sio mikutano ya hadhara pekee bali maandalizi kuanzia utambuzi wa wapiga kura mpaka watakaojitokeza kupiga kura.
:eek::oops:o_O
 
Oo...
 
Waitaraaa haha.. hata hapa alikua amelewa, Maana mtu mwenye akili hawezi kuongea pumba hizi .
 
Sasa kama hali ya kufunga kampeni ndio hii kisha MTU bila aibu anasimama na kusema CCM imeshinda kwa vile iko mioyoni mwa watu si ni kutomwogopa Mungu huko?
Oneni aibu basi!

mwita mwikwabe namfàhamu simshangai haya anayosema leo. ni hulka yake namjua huyu......
 
Hao wote umewahakiki ukajua kuwa wana vitambulisho vya mpiga kura?

Kikubwa zaidi, umejuaje kuwa hao wataenda kupiga kura?

Unanikumbusha "mafuriko ya Lowassa".

Mimi nilidhani "mafuriko ya Lowassa" yangewapa elimu sahihi!

Kigezo cha Ushindi sio mikutano ya hadhara pekee bali maandalizi kuanzia utambuzi wa wapiga kura mpaka watakaojitokeza kupiga kura.
Unajisikiaje unaposema uongo huku ukijua kuwa unaiongopea nafsi yako ambayo inaujua ukweli wote kuhusu ulichokiandika? Nakuonea huruma sana kwa aina ya maisha uliyoyachagua ya kujiongopea!
 
Wewe ndiye unatakiwa ujionee huruma kwa sababu hoja yako inaonyesha unaishi katika fikra za hisia.

Wewe hunijui lakini ulivyoandika kwa hisia ni kama vile unanijua!

Jikite kwenye hoja zangu, achana na maisha yangu kwa sababu hayawezi kukusaidia.
 
Kiuzoefu tu ni kwamba kwa CCM umeona Watu siyo wengi kwakuwa tayari Wananchi wameshajua Chama kinafanya nini na wamependezwa na juhudi zake za Kimaendeleo hivyo wengi wao wameenda Kuwajibika na Kujenga nchi kama Sera ya CCM ilivyo ila huko kwa CHADEMA unaona kumejaza hivyo kwakuwa Watu wanataka kuona wanataka ' Kuongopewa ' nini tena safari hii kama ilivyokuwa kwa mwaka 2015 vile vile wengi wao hapo hawana Kazi za kufanya halafu kuna ambao waliahidiwa Pesa zao wakati wa Kampeni mwaka 2015 hivyo mpaka leo bado ' wanazisotea ' na wamekuja hapo kwa uwingi hivyo ili Mkutano ukimalizika tu ' wamkabe ' shati Mbowe na wengineo waliopo hapo jirani.
Mbona una-propaganda za kitoto sana?
Halafu umezoea kutukana watu humu (nakuomba unijibu kwa hoja...usijaribu hata kidogo kunitukana)
 
Naomba Kwanza unionyeshe Tusi langu katika hiyo ' post ' yangu kisha ndipo nikujibu ulichokiuliza. Nadhani unanitafuta hivyo endelea tu Kunitafuta.
 
Hao wote umewahakiki ukajua kuwa wana vitambulisho vya mpiga kura?

Kikubwa zaidi, umejuaje kuwa hao wataenda kupiga kura?

Unanikumbusha "mafuriko ya Lowassa".

Mimi nilidhani "mafuriko ya Lowassa" yangewapa elimu sahihi!

Kigezo cha Ushindi sio mikutano ya hadhara pekee bali maandalizi kuanzia utambuzi wa wapiga kura mpaka watakaojitokeza kupiga kura.
Hivi hata kwa akili ya matope unadhani Magufuli alishinda urais kwenye sanduku la kura ?
 
Hao wote umewahakiki ukajua kuwa wana vitambulisho vya mpiga kura?

Kikubwa zaidi, umejuaje kuwa hao wataenda kupiga kura?

Unanikumbusha "mafuriko ya Lowassa".

Mimi nilidhani "mafuriko ya Lowassa" yangewapa elimu sahihi!

Kigezo cha Ushindi sio mikutano ya hadhara pekee bali maandalizi kuanzia utambuzi wa wapiga kura mpaka watakaojitokeza kupiga kura.
Kwani hujui kuwa Lowassa alishinda kwa maana ya kura? Wizi wa kura CCM mnaufanya ni jambo halali mpaka hamlionei aibu
 
Kiuzoefu tu ni kwamba kwa CCM umeona Watu siyo wengi kwakuwa tayari Wananchi wameshajua Chama kinafanya nini na wamependezwa na juhudi zake za Kimaendeleo hivyo wengi wao wameenda Kuwajibika na Kujenga nchi kama Sera ya CCM ilivyo ila huko kwa CHADEMA unaona kumejaza hivyo kwakuwa Watu wanataka kuona wanataka ' Kuongopewa ' nini tena safari hii kama ilivyokuwa kwa mwaka 2015 vile vile wengi wao hapo hawana Kazi za kufanya halafu kuna ambao waliahidiwa Pesa zao wakati wa Kampeni mwaka 2015 hivyo mpaka leo bado ' wanazisotea ' na wamekuja hapo kwa uwingi hivyo ili Mkutano ukimalizika tu ' wamkabe ' shati Mbowe na wengineo waliopo hapo jirani.
Ungekua demu sehemu zako za siri zingetumika sana
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom