Ukweli Mchungu
Member
- Jan 23, 2015
- 14
- 6
Ukweli wa leo sijaulewa bana....
Mwanaume anaweza akawa na mwanamke anaye mpenda sana lkn bado akachepuka. Na mwanaume anayempenda mwanamke wake utaona kwa vitendo vyake kwa huyo mwanamke.
Naweza kukupenda sana lakini ukawa si mstahimilivu katika mambo ya ndani na kwakuwa nakupenda inabidi nikaibe kidogo chap halafu nije kwako wangu wa moyoni
Vitendo vipi yani unanipenda halafu uchepuke wewe hunipend aisee!!!
Vitendo vipi yani unanipenda halafu uchepuke wewe hunipend aisee!!!
Nikikupenda nitafanya kila lililo ndani ya uwezo wangu ufurahi na nikutimizie mahitaji yote. Hata kuiba nitaiba ili nikutimizie mahitaji yako na ufurahi. Litakapo kuja suala la kuchepuka siyo lazima ila nikitereza haitamaanisha sikupendi everlenk.
Vitendo vipi yani unanipenda halafu uchepuke wewe hunipend aisee!!!
skfull Ahhhaaa!! Mi sitaki bana ukaniibie!! Mimi sera yangu ni hivi mimi na we tumegombana ila kinu na mtwangio hawajagombana hapa,uniibie kwa lipi?
Mhhhhh!!! Haya!! Vipi na mimi nikichepuka si itakuwa na maana hiyo hiyo pia eti Ukweli Mchungu??
Ukichepuka nakwacha bila hata kufikiria mara mbili! Usifanye hivyo everlenk.
Mmmh, mwanamke mkarimu wewe! Kuna siku utakaribisha malaika... Mie mzima.
^^