* Mtu mzima unakaa kwenye keyboard siku nzima kuandaa na kusambaza habari eti Fulani na fulani kafa.! Halafu kesho yake wanonekana.
* Mtu mzima unakaa kwenye keyboard siku nzima kuandaa na kusambaza habari eti Fulani anashikiliwa mpakani.! Halafu baadae anaibuka anakanusha.
* Mtu mzima tena hoehahe unakaa kwenye key board siku nzima kushangilia eti, nchi haipati msaada.! Utafikiri wewe unaishi Mbinguni.
* Mtu mzima unakaa kwenye keyboard kushawishi na kupongeza rasilimali zinzokusaidia na kuwasaidia wazazi wako na Ndugu zako zikichomwa na wahuni..! Eti kwakuwa humtaki kiongozi Fulani.
Hata hao wafadhili mnawaowatumikia wanawashangaa bila shaka. Wanajua Wana deal na mazuzu ya aina yake yasiyoona beyond their nose.