galaw
Member
- Oct 1, 2016
- 13
- 29
ndg habari.
Namna ya kushughulikia masuala na watu ktk uongozi wowote ni nguzo mhimu ili kufikia hatua nzuri ya maendeleo yawahusuyo wananchi. Hivyo kiongozi hana budi kuamua vitu kwa kuzingatia haki yani ukweli juu ya mamuzi hayo. Hata dikiteta akiamua anaweza tenda haki kwa namna anavyofanya mamuzi juu ya masuala ya nchi pasipo kupendelea mtu wala kitu ila mradi tu azingatie ukweli na uhalisia wa jambo hilo.
Kutenda haki wakati mwingine si lazima iwe kwa namna utakavyo wewe la hasha bali uhalisia wa jambo lenyewe,faida zake na uhitaji wake. Kumbe si viongozi wote watwao madikiteta ni madikiteta hapa bali ni kutokana na kutotimiza hitaji la mtu fulani japo sio haki ya mtu huyo.