GE2025 Hata CCM yenyewe imejichoka

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Jana karibia kila msanii alialikwa ili kuleta mvuto lakini wapi
Mkuu, kwa nini usitumie lugha sahihi ili ueleweke vizuri!
Hakuna msanii anaye alikwa; wote ni waajiliwa kwenye shughuli hiyo.

Huo msululu wa malori; siyo malori ya CCM hayo. Wenye hayo malori ni kina nani, na wanayo shughuli gani na maswala ya CCM?

Kwa nini tusifanye kazi iliyo rahisi kujuwa hawa wanao tununua kupitia CCM ni kina nani hawa?
Hawa ndio wanao waua waTanzania; lakini hatutaki kuwajuwa ni kina nani hawa ili angalao tujue hata kama tunauliwa

Tunaambiwa waTanzania ni wapumbavu, wajinga, waoga, n.k.. Hivi hata kuwajuwa wanaotuumiza kwa usahihi nako inalazimu tuwe watu wa juhudi kubwa sana?

Kwa nini tuhimizwe kwenda barabarani kuweka maisha yetu mbele ya mitutu ya akina Jumanne Mulilo; akina ACP Awadh; lakini hatuhimizwi kuwatambua wanaowawezesha hawa watu kutoa roho za waTanzania?

Kuna ugumu gani kuchukuwa tu picha na kuzifikisha watu wachambue na kujuwa wauaji wetu hasa ni kina nani!
 
Kwa nini tuhimizwe kwenda barabarani kuweka maisha yetu mbele ya mitutu ya akina Jumanne Mulilo; akina ACP Awadh; lakini hatuhimizwi kuwatambua wanaowawezesha hawa watu kutoa roho za waTanzania?
 
We kibwengo nenda kahuishe hilo bichwa lako, unaandika uchafu usio na kichwa wala miguu. We msukule ni wa kupuuzwa umeshakata tamaa na wale nyumbu wako.
 
Mwanaume mzima Mwanaume rijali hawezi kuwa na muda wa kuandika usenge km huo. Hv huonagi ht aibu?
 
Swali muhimu linalo hitaji kuulizwa, ni: Je lengo lililo tarajiwa limefikiwa?

Sina shaka kwamba wenye shughuli yao wameridhika na matokeo yaliyo patikana.

Hawa hawana lengo la kuvutia watu wenye furaha na kuonyesha shamrashamra za mapenzi kwao, kwani hilo halina uhusiano wowote na wanacho kitafuta.
Kinachotafutwa ni kuonyesha tu shughuli imefanyika na imeonyesha wingi wa watu waliofika kwenye shughuli hiyo, basi.
Ni sawa na msiba wa waombolezaji wa kukodi. Wamefika kwenye msiba; wakaigiza walivyo guswa sana na kumpoteza marehemu, na shughuli ikaisha na wao wakakunja chao.

Akina Samia na Genge lake wanachotafuta kwenye shughuli hizi za Kampeni, si kutafuta kuungwa mkono na waTanzania wenye matumaini na uongozi wao. Wanatafuta tu hizo picha na kusafisha matokeo ya ushindi ambao tayari wanajuwa umekwisha patikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…