Hata bongo tunatengeneza software nzuri!

Hii ingefaa zaidi kule Technology forum. Tupia na details itakuwa poa zaidi
 
Hii ingefaa zaidi kule Technology forum. Tupia na details itakuwa poa zaidi
Okey mkuu
1. Inaweza kuungwanishwa na EFD
2. Unaweza ukatumi touch screen
3. Unaweza tumia barcode reader
4. Mult-Currency
5. Report mbali mbali inatoa
6. Inaweza tumika kwenye networked computers
7. Mult-Stock

na mengine mengi tu.
 
Sounds good. Business Management Premier. I wish to know it more because my main concern is in stock management, debtors management and payroll. Nipe mwanga zaidi kamanda
 
Packages ziko aina ngapi na bei kwa kila moja ni sh ngapi?
Tupia link kama tunaweza kuona demo online. Tupe mwanga zaidi, jina na kadhalika.
 
kesho naiweka online ili watu wadawnload demo
Tembelea Mawio Macrosystem

Ni sisi wabongo kabisaaaa
 
kesho naiweka online ili watu wadawnload demo
Tembelea Mawio Macrosystem

Ni sisi wabongo kabisaaaa

Roma haijajengwa kwa siku moja. Hongera na mjitahidi zaidi tusiwe tegemezi wa kila kitu. Tuna uwezo wa kuwakamata na kuwapita, vijana msikate tamaa.
 
Roma haijajengwa kwa siku moja. Hongera na mjitahidi zaidi tusiwe tegemezi wa kila kitu. Tuna uwezo wa kuwakamata na kuwapita, vijana msikate tamaa.

Ninajua tunaweza sana tena sana
Na hii just starting point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…