Hata Benki Hakuna Foleni Siku Hizi

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Jana nimeenda CRDB Bank nakukuta kweupeeeeeee

nimejiuliza sana iweje Ijumaa hii ambapo mida niliyokwenda watu hufurika na tena kuna tangazo kwamba hawatafungua JMS na Jumapili kwa ukarabati halafu ukute kweupe namna hiyo>

Baada ya tafakuri na udadisi Jibu nikalipata..............
 
Angalau NMB ndio unaweza kukuta vifoleni kidogo, lakini hata NBC hali iko hivyo hivyo mkuu.
Kwenye huduma za jamii nako huku kuna tatizo kubwa la chenji, hasa Kunduchi.
Watoa huduma wakubwa wanasema huenda benki kufuata chenji, ila nao benki kwa sasa hawana.
Ukiona haya yanatokea, ujue ndio maana jamaa anajuta kupata hiyo nafasi ya uongozi, pia anasisitiza aombewe.

Ova
 
Jana nimeenda CRDB Bank nakukuta kweupeeeeeee

nimejiuliza sana iweje Ijumaa hii ambapo mida niliyokwenda watu hufurika na tena kuna tangazo kwamba hawatafungua JMS na Jumapili kwa ukarabati halafu ukute kweupe namna hiyo>

Baada ya tafakuri na udadisi Jibu nikalipata..............
Jibu ukapata uje jamii forum?
 
Back
Top Bottom