Hassan Rouhani : Vikwazo alivyowekewa Iran havina faida yoyote kwa mataifa ya magharibi, ila ni faida kwa Israel!
Hassan Rouhani : Wasyria ndio wataamua mustakabali wao wenyewe na haungi mkono uvamizi wa mataifa ya kigeni nchini humo.
Hassan Rouhani : Atajenga mahusiano mazuri na jumuiya za kimataifa.