ernest edwin
Member
- Jun 26, 2018
- 6
- 3
MAN TO MAN – TUSAIDIANE NDUGU ZANGU
Wanaume wenzangu, hebu tusemezane kama wanaume wa kweli. Kila siku tunahangaika, lakini wapo wenzetu wana ka-michongo kazuri kenyeweza kumtoa mtu mtaani hadi kwenye maisha ya kujitegemea. Tusibanane, tusifichane!
Kama una idea ya fursa – iwe ni kazi, short course, mafunzo ya udereva, ujenzi, udereva bajaji, ufundi, hata biashara ndogo – tupiane! Kuna mtu anasota tu na kama angepata direction, angebadilika kabisa.
Na kwa wale waliopata michongo kama hii na walisaidiwa, tusisahau kusaidia wengine. Mimi mwenyewe natafuta ufadhili wa mafunzo ya udereva hadi level ya VIP, niko tayari kulipa kidogo kidogo kwa mdhamana ya kiwanja. Sasa kama kuna kaka amepitia njia kama hii na imeweza, share nami inbox au hapa hapa.
Tujengane. Tunaweza.
#ManToMan #TupianeFursa #MichongoNiNguzo