Hasira ya kunyimwa mshahara!!

jobel

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
321
Reaction score
174
Jasho la mtu haliendi bure.Jamaa ameamua kuonesha umahiri wake kibaruani! Sina hakika kama boss ataweza kucheza na usukani kuikwamua hiyo gari!
 

Attachments

  • IMG-20140507-WA0007.jpg
    59.7 KB · Views: 822
Mkuu naona si tatizo la kamshahara kwa sababu hapa bongo kima cha chini cha kamshahara ni sawa sawa na kamkia cha buzi na haifanani na thamani ya hiyo chombo labda huyo boss anataka kumkomoa mamachanja wake kwa masafari ya siyo isha kutoka mchana na kurudi usiku wa manane ndio hapo tena ni kiziim kuuti
 
Hilo suala dogo sana, "recovery vehicle" likiletwa hapo linatoa hilo gari...
 
Nikiiangalia hiyo gari ni Right Hand Drive, ina maana huyo dereva haku-lock gari na kama alifanya hivyo inawezekana kabla ya kulock gari alitokea upande wa kushoto. Je funguo alimpaje bosi wake au aliondoka nayo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…