Unaweza ukampenda mtu na usione wivu (sababu unamuamini na hakupi sababu za kijinga za wewe kuona wivu)..., well wivu na hasira ni vitu viwili tofauti na sio lazima viende pamoja..., tena mwingine ndio akiona wivu anazidi kuwa mpole na kuongeza mapenzi ili asimpoteze mwenza wako....Sababu hasira if anything ndio zitamkimbiza zaidi