Nukuu,
" Nilitembea na dada yake na rafiki yangu ili kulipiza kisasi baada ya Rafiki yangu kumfumania live akimvuruga (sex) mchumba wangu.
Juzi binti (dadayake jamaa) kanipigia simu anadai anaujauzito wangu eti kaenda kupima.
Nikamtaka twende wote kwa siri(babayake ni mkali) kuhakikisha, ni kweli anaujauzito.
Kinachonichanganya ni
1: Binti simpendi,ila nilitembea naye ili kulipiza kisasi.
2: Binti ana asili ya kiarabu na ni mwislamu tena anayevaa kininja masaa yote,mimi mkristo.
3. Babayake binti ni swara tano hasa na alishawakanya wanaye kuwa hataki kuolewa na weusi (waafrika) na makafri (wakristo),kinyume na hapo watafukuzwa kwao.
4.Kaka zake na binti wanakamtindo ka kuwatigolizi vijana wanaotembea na dadazao (ilimtokea kijana mtaani)"
mwisho wa Nukuu.
ni maelezo ya rafiki yangu,jamaa haelewi afanye nini akifikiria hayo hasa swala la '4'
kaniomba niliwakilishe Jf nimeamua kulileta kwenu ili tumsaidie.