Hashim a.k.a Dogo yupo wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hashim a.k.a Dogo yupo wapi?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by kadoda11, Aug 9, 2011.

1. kadoda11

kadoda11 JF-Expert Member

#1
Aug 9, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 16,394
Likes Received: 8,528
Trophy Points: 280
wadau wa mziki wa hiphop ya kiTZ (siku hizi bongo fleva kwa ujumla wake)mtakuwa mnamkumbuka
huyu brother.he was an illest mc ever btwn 1995-2002.kipindi hicho nakumbuka nilikuwa O-LEVEL na nilimkubari sana hashim na mashairi yake ya ki-hiphop.siku hizi wabana pua ndio wanao tamba.yupo wap hashim a.k.a dogo.

HIP.jpg

2. Nyani Ngabu

Nyani Ngabu Platinum Member

#2
Aug 9, 2011
Joined: May 15, 2006
Messages: 73,670
Likes Received: 35,418
Trophy Points: 280
Hashim Rubanza?

3. kadoda11

kadoda11 JF-Expert Member

#3
Aug 9, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 16,394
Likes Received: 8,528
Trophy Points: 280
jina lake la kiserikali silikumbuki.

4. b

bongisa Member

#4
Aug 10, 2011
Joined: Apr 12, 2011
Messages: 25
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
yeye pamoja na mwenzake karama masoud aka kalapina kwa pamoja ndio walianzisha kundi la kikosi cha mizinga, kundi ambalo lilikuwa likiangaliwa kwa mtazamo wa tofauti kuanzia na media mpaka jamii kiujumla. Nadhani maneno makali waliyokuwa waiyaongea hawa jamaa yalikuwa hayapokelewi kwa mtazamo chanya ndio maana jamaa akaona haina haja bora aangalie ustaarabu mwingine japo mwenzie kalapina anakomaa mpaka leo, ila kiukweli yule jamaa alikuwa emcee hodari. Naikumbuka nyimbo yake ilikuwa inaitwa 'chochote unachofanya'

5. myao wa tunduru

myao wa tunduru JF-Expert Member

#5
Aug 10, 2011
Joined: Mar 9, 2010
Messages: 615
Likes Received: 30
Trophy Points: 35
jamaa aliingia katika uislamu na akawa swala tano na msimamo wa ukweli nadhani akaamua kuacha mziki mazima

6. Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

#6
Aug 10, 2011
Joined: Nov 25, 2010
Messages: 31,817
Likes Received: 36,921
Trophy Points: 280
Jamaa ndio muanzilishi wa kikosi cha mizinga, Kalapina kafundishwa game na Hashim ila baada ya kuleta mziki wa kupiga watu na kuwaibia raia Hashim hakupendezwa tena na kundi lake akaendelea na masomo udsm na sasa yuko mtoni ila aliskika kwenye free style version za watengwa kundi kutoka arusha, jamaa alikua makini na hakuna anayemuweza kwa kuimba kingereza hapa Africa, kama wewe sii new school kama hawa watoto masharoharo utakuwa ulisikiliza ngoma yake ya SHADOW IN THE DARKNESS.

7. C

Caroline Danzi JF-Expert Member

#7
Aug 10, 2011
Joined: Dec 19, 2008
Messages: 3,629
Likes Received: 58
Trophy Points: 145
Kimyaaa!

8. Swahilian

Swahilian JF-Expert Member

#8
Aug 10, 2011
Joined: Apr 28, 2009
Messages: 585
Likes Received: 7
Trophy Points: 35
funga mikanda jamani...
Naona suka anaacha lami...

Nimekumbuka baadhi ya mistari katika songi la tunasonga'

Hashim dogo ni most talented mcee nliyepata kumsikia ktk nchi hii, hkika yu kichwaa...

9. K

Karata JF-Expert Member

#9
Aug 10, 2011
Joined: May 1, 2011
Messages: 324
Likes Received: 26
Trophy Points: 45
Mkuu tuwekee hiyo ngoma ya Shadow in the darkness, kiukweli namkubali sana huyu jamaa.

10. Muuza Sura

Muuza Sura JF-Expert Member

#10
Aug 10, 2011
Joined: Aug 1, 2011
Messages: 1,990
Likes Received: 219
Trophy Points: 160
[h=6]Nimefungua macho kujikuta vitani,
Kimenuka nadhani wameshavuta majani
Epuka kujihami mabomu yanalipuka jirani,
wanajuta kukuta haki haipatikani kwa amani
Kuruta baki nyumbani, tumevuka imani,
yani kiasi kusuka dili hujistiri gizani
Na bendera inaendelea kupepea nusu mlingoti
wanajeshi na masela, mahabusu nipe ripoti.... by Hasheem Dogo[/h]

11. King Kong III

King Kong III JF-Expert Member

#11
Aug 11, 2011
Joined: Oct 15, 2010
Messages: 25,154
Likes Received: 2,406
Trophy Points: 280
Huo wimbo ni wa Afro reign ft Hashim Dogo-Saa za Kazi,Nyimbo zake ni kama "In the shadow,Tunasonga(yupo na kalapina) etc jamaa ni consious mc kweli

12. King Kong III

King Kong III JF-Expert Member

#12
Aug 11, 2011
Joined: Oct 15, 2010
Messages: 25,154
Likes Received: 2,406
Trophy Points: 280
Hilo song ninalo mp3 fresh sema sijui jinsi ya kuliweka hapa au mpak niiweke kwa mediafire then nishee link??

13. Bujibuji

Bujibuji JF-Expert Member

#13
Aug 11, 2011
Joined: Feb 4, 2009
Messages: 35,427
Likes Received: 22,349
Trophy Points: 280

jina tu la wimbo linaonyesha kuwa jamaa alikuwa na akili sana, sio kama hawa wabana pua ambao ubongo wao unawaza mademu tu.

14. Diehard

Diehard JF-Expert Member

#14
Aug 11, 2011
Joined: Nov 23, 2010
Messages: 370
Likes Received: 25
Trophy Points: 45
Hashim alimfundisha Kalapina game baadaye pina mpenda sifa akawa anamtusi Hashim Dogo, Jamaa alikuwa mgumu wa ukweli alimwacha baba yake mwenye hela kule Mbezi na kuja ishi na masela Block 41, aliishi USA late 1990s na kurudi kama sikosei kwa repatriation na alipoanzisha Kikosi Cha Mizinga alimrudia mola na kuwa mzee wa swala tano yeye pamoja na pina, lakini pina nadhani swala tano alikuwa anaigiza yakamshinda akabaki kupigana na kina dudubaya Dogo Mwendawazimu Hashim akamtosa na kuondoka kwenye game.

Nilimwona UDSM akichapa kitabu na siku za mwisho nadhani mwisho wa disemba nilikutana naye PPF chini akiwa ndani ya mkoko wake.

Ni MC ambaye P Funk majani alikuwa anamkubali sana.

15. K

Karry JF-Expert Member

#15
Aug 11, 2011
Joined: Mar 26, 2011
Messages: 266
Likes Received: 1
Trophy Points: 33
atakuwa amekuwa ss ameachana na muziki

16. ndetichia

ndetichia JF-Expert Member

#16
Aug 11, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 27,641
Likes Received: 236
Trophy Points: 160
mkuu tupia basi kati hiyo mp3 tupate ladha za wakongwe..
pamoja mkuu

17. N

Ndoano Senior Member

#17
Aug 11, 2011
Joined: Aug 9, 2011
Messages: 187
Likes Received: 3
Trophy Points: 35

tena kwa uhakika nani mzugaji na nani anawajibika....huyu jamaa ni mkali mpaka kuna watoto wa m lab wanambite

18. N

Ndoano Senior Member

#18
Aug 11, 2011
Joined: Aug 9, 2011
Messages: 187
Likes Received: 3
Trophy Points: 35

acha uongo hakuna mtu anaefundishwa kurapu sikiliza tunasonga na mstari wa mbele ndo utajua pina hakufundishwa kurapu na hashim sema inawezekana kuna sharing ideas

19. N

Ndoano Senior Member

#19
Aug 11, 2011
Joined: Aug 9, 2011
Messages: 187
Likes Received: 3
Trophy Points: 35

tena kwa uhakika nani mzugaji na nani anawajibika....huyu jamaa ni mkali mpaka kuna watoto wa m lab wanambite

20. kadoda11

kadoda11 JF-Expert Member

#20
Aug 11, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 16,394
Likes Received: 8,528
Trophy Points: 280
tunasonga kwa mwendo wa falasi au kinyonga;tunasonga.......dah hii mistari inanikumbusha mbali sana.namkumbuka kanali masawe jite ute back then.

Loading...