Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
- Thread starter
-
- #21
Mbona Obama anaungwa mkono na zaidi ya asilimia 93 ya Wamarekani weusi....sasa donge liko wapi?
Umeshawahi kuishi Marekani na kufanya kazi na wamarekani weusi? Nani utajisikia kufanya kazi naye zaidi kati ya Mzungu na black american?
Hahahaaaa haya bana! Wala sijawahi.
Umeshawahi kuishi Marekani na kufanya kazi na wamarekani weusi? Nani utajisikia kufanya kazi naye zaidi kati ya Mzungu na black american?
H. Thabeet ni yule yule aliyekuwa Memphis, Houston na huko sikui wapi, lakini leo anaonekana amebadilika, kilichombadilisha si juhudi tu ila ushirikiano anaopata toka kwa hao wenzake. Kama we mfungaji wa magoli wachechaji wenzako wasipokupa ushirikiano utapataji mipira ya kufumua mikwaju kuikwamisha wavuni? Utabaki kukimbia huku na kule ndivyo yaliyotokea kwa Thabeet hata mwandishi na mtangazaji mmoja aliongea kitu kama hicho mwakajuzi alipokuwa bado Mephis.
Hahahaaaa haya bana! Wala sijawahi.
Safi sana Hasheem.
Jana Hasheem Thabeet na wachezaji wenzake wa timu ya Oklahoma City Thunder ametoka uwanjani kifua mbele kwa kuchangia ushindi wa kishindo wa timu yake dhidi ya Charlotte Bobcats.
Thunder waliwatandika Bobcats vikapu 114 kwa 69 ambapo Thabeet alifunga vikapu 13 katika dakika 26 alizocheza.
Jamani mnaangalia gemu ya leo kati ya OKC na Houston?.... mara Thabeet katimuliwa mara karudishwa!
Hajatimuliwa hapo, anatokea benk kumpumzisha mmoja wa waanzaji. Lakini leo kabanwa sana na timu yake aliyowahi kuchezea. Huko Houston walimweka benk bila kupewa hata dakika kwa michezo mingi tu, hao ndio mojawapo na Memphis waliotaka kuua kipaji chake.Jamani mnaangalia gemu ya leo kati ya OKC na Houston?.... mara Thabeet katimuliwa mara karudishwa!
Mie naangalia game Mkuu anacheza ingawaje hajapewa dakika nyingi, ndio half time sasa hivi.
Houston Rockets center Omer Asik (3) gets between Oklahoma City Thunder center Hasheem Thabeet (34) and Rockets guard James Harden (13) in the second quarter of an NBA basketball game in Oklahoma City, Wednesday, Nov. 28, 2012. (AP Photo/Sue Ogrocki)