Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Wabongo kwa majungu..alichezea shilingi kivipi!?..tunachojua aliumia taya na baada ya hapo hakuwa na kiwango kile tena
Aliumia taya akiwa timu ipi?
Wabongo kwa majungu..alichezea shilingi kivipi!?..tunachojua aliumia taya na baada ya hapo hakuwa na kiwango kile tena
Jamani duuu, king to jek.Huyu mwamba karudi Pazi , ana plan ya kukipiga ligi ya mchangani ,Tozonia .
Dah ! ,Jamaa anasikitisha