Hasheem Thabeet agonga bajaj, amshushia kibano kitakatifu dereva

Unamkandia au unamsifia?tolu jitu la kuharibu utaratibu sehemu za bata!...yaani likitimba batani lazima utaratibu uvurugike!sura sasa hivi hazinunuliki mpaka tolu lisepe mjini!...utaratibu anaanza kuuharibu katika parking na gari lake siyo usafiri!manake kuna gari na usafiri!tolu anasukuma gari!

Mshaurin tolu awekeze anunue estate mikocheni au bagamoyo ajenge apartments kama za Darvilla.
 
Mkali wa Basketball Hasheem Thabeet kwenye interview na Millard Ayo wa AMPLIFAYA Clouds FM.

.

 
Nilikuwa nasikiliza interview ya kina P Square. Wanasema wao wanaofisi nyumbani kwao hivyo ni ngumu sana kwa Wanaijeria kuwaona mitaani. Wanasema kama ma super star hawapaswi kuonekana hovyo hovyo kwani kuna walio tayari kulipia attendance yao kwenye events.

Nikavuta taswira kwa masupastaa wa Bongo; mtu anatembelea viwanja mpaka vitatu kwa usiku mmoja. Mpaka anazoeleeeekaaa.

Afu mnatulalamikia kuwa nabii hakubaliwi kwao na kuwa hatushoboki na nyie wasanii wetu; sabab ni kuwa mmezidi kuzurura na kujichanganya. Lol.


arifu umeongea kitu cha kweli aiseee......ndio maana wakina ibaka wanaendelea kushine daima huyu tuko nae jolies na nyumbani longe akigombania wachafu kuoga kama wakina jokate.....

wewe dogo mioshi ya bangi ya kinondoni imekuharibu.....walikuwepo wakali wanaojua zaidi ya HT an mahela kibao kudadadadadadadadeki sasa hivi ni homeless......endelea kumshauri asifanye mazoezi awe mzivu utaniambia mkataba wake ukiisha.......
 
Hasheem cmuombei vibaya hla muda wake kucheza NBA una hesabika coz mpaka sasa hv ameshahama timu hazipungui mbili halafu zote anatolewa kwa mkopo na namba hapati,tena km sasa hv ligi inaendelea yy yupo dsm,muda huu anaokaa bench mtu mwenye akili angekua bussy na mazoezi hili kupandisha kiwango yy anakuja kutanua bongo.
 
Shame on you Mods where are you from 28/May up to this time..
St. Paka Mweusi

Next time if you see those kind of comments, please ensure you report them ASAP
report-40b.png
 
Last edited by a moderator:
Kama kweli Hasheem kampiga jamaa wa Bajaji basi kafanya vibaya...Hasheem anaendesha gari gani?
 
Back
Top Bottom