Hata kama kanywa nusu kaacha atalipia 2..
kwani ilikuwa ni offer au walikubaliana waondoke wote?
Na hata kama walikubaliana. Hawezi badili mawazo?
upande mmoja ukibadili na mwingine usibadili?
double coincidence of wants...!
ndio maana kila mkataba ninaoingia naangalia kwa tochi kipengele cha kutengua makubaliano nijue gharama zake.
mmh, bora usikunywe soda za watu aisee:nono:
hilo wazo la mkataba huwa halipo kabisa wakati wa kunywa..
halafu ujinga wa majamaa unakuta wananywesha mtu bila kumwambia what next!!
sasa mdada kuja kustuka kuna kugegedwa, hapo ndipo shida inapotokea...
Hyo style ni ya long tym ya 1 drink...now kina dada wanapatiwa vyinywaj vya kutosha mpka alegee kama mlenda then jamaa anajua chakumfanya chochote anachotaka..π
Siku hizi wanalilia offer alfu hawajui pesa inatoka wap..ngoja wapigwe offer mpaka zitokee puaniπ
Hahaa haking'oki..ndio maana wanaliwa vichuri coz majamaa wamechoka kuogeleaπ
this is sooo 1947!
Kichuri ni aina ya mzozi kitamu xna