Hasara za kuwa mchepuko

wenzio hawakalii hayo nduguu...

ya kwao yanaenda..!!

tunajipaga moyo tu eti ni mke, mke aende atarudi halafu...!!

cha msingi wanaume waache kuchepuka!
 

Mkuu Nauheshimu mtazamo wako kuhusu hii mada, ili tutende haki unaweza kututajia faida chache za kuchepuka / kuwa mchepuko? Sidhani kama wachepukaji wote hawayajui haya uliyosema na ni lazima wana sababu za kuchepuka!
 
Hao michepuko kwa kupenda vya bure mwishowe wanabaki single mothers baadae wanaanza kutafuta wa kuwaoa, nan aoe mtu alikuwa anatembea na ME sawa na baba yake si Laana hiyo. Muda wa kuolewa wanang'ang'ana na wazee wakishafika 30+ wanaanza kutafuta vijana. AIBU YAO
 
Yote ni maisha... Hawawez olewa wote jameni!kila mtu ana changamoto yake ktk maisha
 
Maisha hayana formular, ukishajijua kuwa umekubali kuwa mchepuko kwanza jiulize kwanini uwe mchepuko, umeona kuna manufaa utakayo ya pata kwa kufanya hivyo, miezi sita hakuna mabadiliko jiondoe.
 
Maisha hayana formular, ukishajijua kuwa umekubali kuwa mchepuko kwanza jiulize kwanini uwe mchepuko, umeona kuna manufaa utakayo ya pata kwa kufanya hivyo, miezi sita hakuna mabadiliko jiondoe.
Maisha yana formula, but we've neglected the rules...ndio maana tunajipa moyo kuwa hakuna formula katika kuishi...
 
Mengi
 
Paulo Sergio De Souz sijaelewa. Miss ndo mchepuko au?
 
Ni bora hata kuishi mwenyewe kuliko kuwa mchepuko...
 
Teh,teh,,,
Maneno kuntu, ila hyo namba 5 ndo inawaumizaga michep vichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…