Hasara za kutojiamini, hizi hapa…..


Kikubwa nikujijengea imani kwa yote unayo yaamini na kuyatenda?
 
mimi najiamini nusu nusu, najua naweza ila kuna wanonizidi pia nawatambua.

kwahiyo siwezi acha kuiga vitu vya msingi toka kwa wengine.
 
Aksante sana Baba yangu kwa somo hili lililokwenda shule. Wengi wetu tunakosa mengi kwa kutojiamini.
 
Post yenye kugusa wengi hii..
Nikipoint out kitu;
1.wazazi wana nafasi kubwa sana kufanya watoto wakue confident
charity begins at home
2.kwenye maisha unaweza kuwa a ladder towards success or successful,usipojiamini mara nyingi utakua a ladder kwa wengine
 
Mokoyo, anajiamini kwenye maeneo yote kama vile kazini, kwa mpenzi wake, familia yake, marafiki, hapa JF n.k
 
najua kwenye kutafuta hela wengi wanajiamini, ila kwenye mahusiano hapo ndio watu wanapotafuna kucha na kuchimba chini.
la msingi sana kwenye malezi ya watoto wetu kwa kipindi hiki cha utanda wazi kuwalea katika mazingira ya wao kujiamini kwenye kila hali wasije kuwa kama kizazi chetu kilichopita
 
Daaah aisee kati ya vitu vyote mimi ni ngumu kusema ni wakati nina shida siwezi sema..hata siku moja..na sidhani kama nimeshawahi..naamini hakuna anayeweza nisaidia zaidi ya mimi mwenyewe..ingawa..kusema kunafaida...yani nimejitahidi sana nitasema kwa mafumbo lakini sio direct..
 
Ngumu sana kueleza matatizo yako, kumbe tuko wengi

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…