Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
mimi nadhani kujiamini kupita kiasi ni ugonjwa mkubwa zaidi ya kutokujiamini.....Kuna hasara pia za kujiamini kupita kiasi? nadhani kunatakiwa kuwa na balance fulani katika kujiamini. Kutojiamini ni ugonjwa mbaya mno wa akili..nilikuwa nao nilipokuwa nakua na hadi sasa kuna baadhi ya maeneo nahisi sijiamini hasa katika mahusiano ya mapenzi
shem Mtambuzi asante kwa kutuwekea kioo tujiangalie, lol!
hiyo namba 12 inanitesa sana kwa watu wa jirani zangu. Mimi napenda sana utani, yaani mambo mengi out of kazi/shule/ugonjwa/......huwa nayachukulia utani. ingawa sometimes hata ugonjwa huwa natania. Binafsi nikiwa naumwa sipendi mtu aje aniangalie akiwa amekunja sura, hata kama nipo serious namna gani, napenda anitanie nichekeeee, ndo naona napata nafuu.
sasa kuna baadhi ya watu wananitesa sana, sipati angle za kuwatania.... kila nikitania, tayari nimeshanuniwa...... "unaona sababu wewe uko hivi au vile".... na vitu kama hivyo. Inawezekana kweli hawajiamini au? mi sijui bana
Mtu asiye jiamini ni mtumwa wa mawazo yake
Unakidhi 13 na 14?
Real talk
kama kuna kitu na-enjoy ni kufanya kila kitu easy......watu km ww tupo wachache sana........wakat fulani wanafikiri unajishaua kumbe u just making life better and happy
Kuna hasara pia za kujiamini kupita kiasi? nadhani kunatakiwa kuwa na balance fulani katika kujiamini. Kutojiamini ni ugonjwa mbaya mno wa akili..nilikuwa nao nilipokuwa nakua na hadi sasa kuna baadhi ya maeneo nahisi sijiamini hasa katika mahusiano ya mapenzi
ha haaa, siyo hivyo rafiki.
unajua unaweza kujiamini kwa hili na usijiamini kwa lile?
mdogo wangu ni mwl. ukiingia kwa darasa lake utampenda nda jinsi anavyomimina materials... kwa kujiamini haswaaaaa.
sasa mwambie Ombea chakula kwenye kusanyiko la watu kama 10 hivi..... hawezi kabisaaaa
ha haaa, siyo hivyo rafiki.
unajua unaweza kujiamini kwa hili na usijiamini kwa lile?
mdogo wangu ni mwl. ukiingia kwa darasa lake utampenda nda jinsi anavyomimina materials... kwa kujiamini haswaaaaa.
sasa mwambie Ombea chakula kwenye kusanyiko la watu kama 10 hivi..... hawezi kabisaaaa
hilo namba 6 ukiling'ang'ania best hali yako itakuwa mbaya sana.......Yangu no 6 hasa ndio yanisumbua, hizo 13 na 14 si shida.
Yangu no 6 hasa ndio yanisumbua, hizo 13 na 14 si shida.
upo sahihi kabisa rafiki...Public speaking ni janga, ila kama alivyosema Elizabeth Dominic hata kujiamini kwa kupitiliza ni tatizo, somehow lzm utafakari hata kidogo impact ya matendo au maneno yako kwa watu wanaokuzunguka. Hii inaitwa hekima, overconfidence ni ngumu kuitofautisha na arrogance.
Yaani l am struggling, meditatation inanisaidia hasa ktk kukasirika things zisipomove the way l want them to.hilo namba 6 ukiling'ang'ania best hali yako itakuwa mbaya sana.......
sisi ni binadamu.... kuwa sahihi muda wote ni ngumu sana. Ndo maana huwa nashindwa kuelewa mtu anayeshindwa kuomba msamaha akiamini hawezi kukosea kitu
ha haaa, habari ndo hiyo....He he he, umenikumbusha nina mdogo wangu wa kike, namzidi karibu miaka 10
Lakini, kwe nye halaiki, anaweza kuongea kuliko mimi
Hata kama point nimeziandaa mwenyewe, sijui ni vipi
Bahati mbaya, kabla ya kueleza issue fulani kwa mtu najieleza mwenyewe na kujipa majibu ambayo nitapewa. So napick from the list kile ninachoona kinafaa.Unaweza elezea matatizo yako kwa majirani?
Au unapenda kila saa kuwa karibu na majirani mnapiga story?
Coz hata nijitahidi vipi siwezi mbona
Bahati mbaya, kabla ya kueleza issue fulani kwa mtu najieleza mwenyewe na kujipa majibu ambayo nitapewa. So napick from the list kile ninachoona kinafaa.
Mfano leo, nimeomba ushauri kwa mtu just for the sake ya kumshirikisha tu ili ajisikie yu karibu na mimi wakati already najua nini nataka fanya. So bahati mbaya kanishauri tofauti na ninavyotaka kufanya, sasa natafakari njia ya kufanya ninachotaka kufanya bila ya kumuathiri (Shida yangu nyingine ni being nice sioendi kuharibu ego za watu ambao ni humble).
Nimekujibu kirefu, lkn kwa ufupi huku niliko watu hufikiri Kaunga huwa hana au hapati matatizo, kiasi kwamba siwezi mkopa mtu pesa kwani wanafikiri nawatania, imagine ni mama tu ndiye naweza kopa kwake pesa, not even my brothers.
Nini kifanyike?
mimi nadhani kujiamini kupita kiasi ni ugonjwa mkubwa zaidi ya kutokujiamini.....
maana mtu anaweza akafanya kitu nyie huku mnaoangalia mkatamani ardhi ipasuke mjifiche, lakini mwenzenu waalaaa, anadunda tu
binafsi nilikua na tatizo ilo tangu secondary hadi chuo...nimeanza kazi yangu ya kwanza bado sikua najiamini;wkat fulani nikiulizwa kitu napatwa heartbeats;nikitakiwa kutoa maelezo fulani tyr heartbeats hadi huruma...u cant believe now am one of the best confident guys ever....i joined an organisation ambayo i was forced to grow up,na good enough niligundua watu wanaokuzunguka wanawezakukuchangia kuishusha confidence yako....friendly environment ndo kila kitu;....no more heartbeats;face to face discusion;vikao vya harusi nasimama nachangia;vikao vya ofisin usiseme;nyumbani mamsap anakubali jembe lake....