Wapewe majukumu...Tutawasaidiaje wa2 kama hawa, maana wapo wengi sana wametuzunguka!
Tutawasaidiaje wa2 kama hawa, maana wapo wengi sana wametuzunguka!
unajua hata mimi nilishangaa rafiki.... nikajua umemruhusu....Mtambuzi itoe picha yangu, tafadhali
ha haaaa, hili somo mimi nimepata sufuri.......kweli unayosema ni sahiihi sana kwani wako watu ambao hawajiamini 100% na wengi wanaoumwa maradhi nyakati hizi ni wale wasiojiamini hata katika mambo yao binafsi na hususani wale walioko kwenye ndoa ndo kabisaaaaaaa hawajiamini wala kuwaamini wale waliowazunguka
shem Mtambuzi asante kwa kutuwekea kioo tujiangalie, lol!
hiyo namba 12 inanitesa sana kwa watu wa jirani zangu. Mimi napenda sana utani, yaani mambo mengi out of kazi/shule/ugonjwa/......huwa nayachukulia utani. ingawa sometimes hata ugonjwa huwa natania. Binafsi nikiwa naumwa sipendi mtu aje aniangalie akiwa amekunja sura, hata kama nipo serious namna gani, napenda anitanie nichekeeee, ndo naona napata nafuu.
sasa kuna baadhi ya watu wananitesa sana, sipati angle za kuwatania.... kila nikitania, tayari nimeshanuniwa...... "unaona sababu wewe uko hivi au vile".... na vitu kama hivyo. Inawezekana kweli hawajiamini au? mi sijui bana
unajua hata mimi nilishangaa rafiki.... nikajua umemruhusu....
mkomalie aitoe kabla hatujaandamana
Naangalia kwa karibu, naona wachangiaji wote "wanajiamini"; tusiojiamini tunapita tu bila kucomment au wanaodhani wanajiamini nao wamo kwenye kundi letu?
Past post za wengi humu naona tuko nao kundi moja tu. Lol
Ruksa kunipopoa!
ha haaa, siyo hivyo rafiki.Naangalia kwa karibu, naona wachangiaji wote "wanajiamini"; tusiojiamini tunapita tu bila kucomment au wanaodhani wanajiamini nao wamo kwenye kundi letu?
Past post za wengi humu naona tuko nao kundi moja tu. Lol
Ruksa kunipopoa!