Hasara za kumuacha mke uliyesota naye kimaisha

Hasara za kumuacha mke uliyesota naye kimaisha

True story,

Juzi kati mwaka jana mwezi wa tisa bro alikuta milioni 25+ zimepotea kwenye account yake kucheki baadhi ya miamala akaona mke wake fmalikuwa anachukua anamtumia baba ake mzazi yule babake for God sake ni mchungaj. Akaulizwa akakataa na kiualisia hazirudishiki

Niambie utaendelea kukaa na huyo mwanamke maaana yeye mwenyewe alikimbia

Juzi kati nacheki wale madogo kwenye ubarikio wao december hawana aman bro akaniambia watakuja elewa mbelen.

Ungeendelea kaa na huyu mwanamke? Sikuwai fanyiwa ubaya na huyu shemeji nilikuwa namkubali kwa uchacharikaji wake
 
1. Ni rahisi kuporomoka kiuchumi hasa ikitokea ka bibi mdogo ukakaleta karibu na biashara zako au kakawa kasimamizi ka baadhi ya Mali zako katakua bize kujifanyia malimbikizo ya fedha zako.



2. Kila mwanamke utakayekuwa nae kwenye mahusiano atataka kuchuma nakusepa zake huku akijua fika muda wowote anaweza kusepa.



3. Kujishushia heshima. Jamii inayokuzunguka watakuona mkosefu hata kama mkeo ndiye aliekukosea jitahidi umvumilie hata kama atajamba mbele za watu na akakusingizia wewe.



4. Watoto wako hawatakupenda hata uwapeleke sayari ya Jupiter. Watakuona kakakuona tu mapenzi yao juu yako yatabaki kua kama corona na mask.



5. Utawahi kufariki au utateseka sana katika maisha yako napengine utaweza hata kurudi kwa baba na mama na ukaishi kwenya ka ghetto kako kazamani.



Note: Vuta mke kwa nia kweli, ukianza uzazi naye funga mkanda hakuna kurudi nyuma ni mwendo wakukaza buti na kwenda Kinjekitile Ngwale maji maji. Mtutu begani haijalishi kama umepewa ratiba ya tendo la ndoa.







Ongeza na zako hapo

Sent using Jamii Forums mobile app

Uloyasema yote ni ya kusadikika hayana ukweli.... Maisha ni furaha na karaha na mwanamke ni kichocheo cha haya yote yan awe anachochea karaha unambadilisha habadiliki eti m2 uendelee kumvumilia.... Wew hayajakukuta.... Kuna wanawake sikio la kufa ukiwafuatisha unakufa nao.....
 
Back
Top Bottom