JOHN ze DON
Senior Member
- Feb 27, 2013
- 140
- 135
Nani yuko tayar kujiunga na TEAM SIBET TENA(a.k.a TEAM NIMEKOMA),.
Kubet ni full hasara kama ukiwa sio mwenye bahati ya kamari kama mimi.
ZIFUATAZO NI HASARA ZA KUBET
1. Unadumaa akili unashindwa kuwaza vitu vya maana vyenye
kuleta pesa ya uhakika isiyo na mawazo.
2. Ni rahisi sana kupata magonjwa ya moyo ikiwemo presha,
kwa wale wanaobet Dau kubwa na hawana bahati ya
kushinda..
3. Hata kama utashinda huwezi kuheshimu pesa, kwasababu
akili yako itadumaa na kuamini kuwa pesa inapatkana
kiurahisi, kwa mtu anaebet ni rahisi sana kucheza hata
million ml akiamini itarudi mala nyingi zaidi ya hiyo,.
4. Usipokua makini utajikuta umepoteza pesa nyingi bila
kujua, mfano chukulia unaBET sh.5000(kwa mda tofauti)
kila siku kwa miez mi3 na kufanikiwa kushinda
sh.60,000(kwa mda tofauti) je utakua umepoteza sh
ngapi??,.
5. Kubet ni KAMALI na imekatazwa na imani zote za dini(ni
haram).
6. Huenda kubet kukakufanya kuwa mtumwa wa madeni kwa
kuamini kuwa pesa ya kulipa utaipata kwenye kubet, kwa
mtu anaebet ni rahis sana kukopa hata laki moja ili aizalishe
na endapo akiliwa yuko ladhi kukopa tena ili acheze alipe
deni na apate pesa nyngne, ndo maana watu wanaobet huwa
asilimia kubwa wana madeni(hata madeni ya mitandao pia
mfano M-PAWA n.k)
7. Ukizoea kubet huwez kuona fursa zinazokuzunguka,,
USHAURI WANGU
* Kama hujawah kubet usijaribu, maana kubet ni zaidi ya addiction
*Na kama unabet na umeshaliwa zaidi ya pesa uliyowahi kushinda, acha!!!,.
MWISHO ........ MWISHO........ MWISHO.......