Kijana mmoja alitaka kuoa akamwambia baba yake kaniposee msichana fulani,baba yake akamwambia tafuta mwingine kwani yule ni dada yako ila mama yako hajui...akatafuta tena wasichana wawili na baba yake akamwambia hivyo hivyo.!! Kijana akaenda kumwambia mama yake,mama yake akasema...wewe nenda kamuoe yeyote kati yao kwani yule si baba yako ila yeye hajui. 🙂
ningelikuwa ndiyo baba wa huyo kijana, ningelimwambia, "We nenda kaoe yoyote, hao wote siyo watoto wangu, nilisingiziwa kama mama yako alivyonisingizia wewe". Hapo ngoma droooo.......!!!!!!!!!!!