LUS0MYA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 862
- 1,097
Tunaweza kuweka lawama kwa hili shirika lakini kwa hivi karibuni ndege zake zinatumika sana kwa safari za kiserikali na ambazo sio za kibiashara.
Hii mara nyingi husababisha kuchelewa au kahairisha au kupunguza safari. Ni afadhali serikali ipewe ndege moja ya ATCL kwa ajili ya viongozi na mambo ya serikali na gharama zake ziwe kule kwenye mamlaka ya ndege za serikali.
Pia soma > CAG Kichere: Licha ya kupewa Ruzuku ya Tsh. Bilioni 31.55, ATCL imepata hasara ya Tsh. Bilioni 56.64, ongezeko la 61% kutoka hasara ya Mwaka 2021/22