Usihofu vita kuu ya tatu ya dunia muda wake bado haujafika. Hii ni dalili tu na si rasharasha, vita kamili vitakuja utakapoona mataifa mengi yako kinyume na israel na yakaunda umoja kwenda kupigana nayo.
Harmagedoni ndio vita kubwa na hatari tupu, silaha kali za kisasa kutumika ikiwemo za mionzi