Has CUF(Bara) upstaged CHADEMA on the issue of new Constitution? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Has CUF(Bara) upstaged CHADEMA on the issue of new Constitution?

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by awtu, Dec 30, 2010.

 1. a

  awtu Member

  #1
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :frown:
  Jamani kila mtu anajua kuwa jambo la kudai Katiba mpya lilikuwa na lipo katika mkakati wa CHADEMA tangu wakati wa kampeni za uchaguzi uliochakachuliwa kwa kishindo.
  CUF (bara/dar) nao wakadandia hiyo agenda siku za mwisho mwisho wa hizo kampeni baada ya kuona ina mshiko.
  Lakini sasa hiyo CUF Bara/ Dar inaonekana inataka kuwapiku CHADEMA kwa kuaandaa maandamano kwa harakaharaka.
  Swali (kama kuna majibu):
  CDM watuambie ya kwao yatayaanza nchi nzima na lini yatazinduliwa na wapi?
  Bora kuyaanza nchi nzima kwa mara moja ili ku- spread the state apparatus thin and have a better impact. Hapo hata CNN, BBC and EURO News watayaonyesha live!
  Wakubwa wakiona hayo katika news zao, utaona JK akiitwa Washington, London, Brussels, Copenhagen, Helsinki, Stockholm nk kujibu tuhuma na kunyimwa misaada ambayo wanayaponda kila siku.
  Huenda baada ya hapo akanyimwa VISA ya kwenda huko na account zake za VISA, Master card etc zikaufngwa kama zilivyofungwa za Jualian Assange.
  Natoa hoja!
   
 2. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Ivi Chadema kuna wasomi wa kuweza kutengeneza iyo kitu imetengenezwa na CUF ? CUF wanakueleza kuwa walianza tokea 2006 na wamekusanya na kusoma sehemu mbalimbali ,Chadema wanaweza tu kupiga makelele bungeni lakini kwenye vitendo ni woga sana!!
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  It does not matter. At the end of the day it is the people of Tanzania who are beneficiaries.
   
 4. N

  Nancy Tweed Senior Member

  #4
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Achana nao hao, wazaramo wana wimbo wao wa gombe sugu, wanaimba "mlevi oooooh... mlevi.... hana maana...." phd's chonga domo milele wakishalewa ndiyo wanadai katiba mpya. Pombe ikishatoka akilini wanasau kila kitu.

  Take it from me, CUF will deliver it.
   
 5. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Very narrow and most myopic a perspective to pamper!!!!
   
 6. N

  Nonda JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  mkuu,

  Hoja yako umeitoa ladha kwenye red hapo...

  Suala la katiba ni la wote. Kukipa ujiko chama kimoja na kukukejeli chengine ni kukataa kuwa kila chama kinawakilisha sehemu ya wananchi katika TZ.

  Pia vyama vya siasa ni kajikasehemu tu katika kundi kubwa la watanzania. Haviwakilishi jamii yote ,kuna wasio na vyama pia.

  Ushajihishe vyama vifanye kazi kwa karibu na kwa pamoja katika issues zinazowahusu wananchi wote. Tueke ushabiki pembeni,unatugawa na hakuna ya sababu ya msingi kugawanyika pale tunapokuwa na dai la pamoja.

   
 7. a

  awtu Member

  #7
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nonda,
  Nakupata! Basi tungesema ya kuwa sote wangeungana basi ila hilo lilishindikana tangu enzi za Lyatonga alipokuwa juu katika anga za siasa za TZ. Ndiyo maana watu wanagravitate towards a party they feel it can deliver what they want.
   
 8. T

  Topical JF-Expert Member

  #8
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Afadhali wao CUF wameleta kitu cha kujadili yaani document rasimu na mapendekezo yao, chadema hawana muda wa kuandaa hata mapendekezo lakini kila siku wanadai...aise kelele nyingi utendaji zero.
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  CUF ni chama mfu hakina staha ya kujadiliwa kwa chochote! Nadhani mnajua sababu ni chama chenye itikadi gani
   
 10. T

  Topical JF-Expert Member

  #10
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Useless..unajaza nafasi..nenda kabishane na ms.
   
 11. u

  urasa JF-Expert Member

  #11
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ule ugonjwa wako bado hujapona?
   
 12. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #12
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kwa watu makini CUF wamejidhalilisha. Chama kilicho makini hakiwezi kikashughulikia suala la msingi kama hili la sheria mama kimzaha mzaha. Uandikaji wa rasimu ya katiba hauwezi ukafanywa na mtu au kakundi ka watu bila ya kushirikisha jamii yote kwa ujumla. Aidha ni kutowatendea haki wanachama wa kawaida, kwa kuwahadaa ili wasindikize hiyo rasimu ya katiba ambayo haijawekwa wazi kwao.
   
 13. T

  Topical JF-Expert Member

  #13
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Cdm makini bado wanaandaa wanatafuta consultant (i hope this time hatakuwa kitila)
   
 14. October

  October JF-Expert Member

  #14
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 2,147
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Sio mbaya kama wamefanya hivyo kwa kudhamiria kutoka moyoni kuleta mabadiliko ya kweli tanzania. Hii itakua vizuri kwao kudhibitisha kwamba kweli wapo upinzani na si CCM-B kama inavyoonekana kwa sasa.
  itakua mbaya sana na unafiki mkubwa endapo watakuwa wana agenda ya siri.
   
 15. T

  Topical JF-Expert Member

  #15
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Sijakuelewa wao wametoa rasimu/mapendekezo hadharani agenda ya siri ni ipi? hiyo ya cdm inayosubiriwa itokwa kwa cpt ndio yenye agenda ya siri?

  Kutoka moyoni hatuna uwezo wa kupima vya moyoni kwa watu...
   
 16. IHOLOMELA

  IHOLOMELA JF-Expert Member

  #16
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 833
  Likes Received: 362
  Trophy Points: 80
  yaani humu JF ndo maana mie huwa sichangii.! Maana watu mmekaa kishabiki shabiki tu. Badala ya kuwaunga mkono CUF mnaanza kuwaponda. Suala la Katiba mpya ni la Watanzania wote bila kuangalia dini, kabila, rangi, asili, hali za kiuchumi, vyama vya siasa wala elimu zao. CUF tuko nyuma yenu
   
 17. N

  Nonda JF-Expert Member

  #17
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Mkuu,

  point yangu ni kuwa tusidharau kimoja kukipa ujiko chengine.
  Kuungana si lazima lakini wanaweza kufanya kazi pamoja,kushirikiana katika hoja na dai kama hili la msingi ambalo linamgusa kila mwananchi; mwenye chama na asiye na chama.

  Pia sisi, hata kama ni wapenzi,mashabiki,wakereketwa hasa wa chama fulani basi si lazima kuendeleza malumbano yasiyo msingi, hasa kwenye issue inayomgusa kila mtu na taifa.

  Inaonekana watu wana mawazo mazuri humu Jf lakini huwa yanatawaliwa na ushabiki zaidi.
   
 18. T

  Topical JF-Expert Member

  #18
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nafikiri tunaburudika hapa JF kupata mawazo yasiyo hitaji kupangiliwa unasema upendavyo mkuu

  Wewe sasa unaleta busara za kwenye vikao rasmi...

  Aisee tukiwa kwenye mambo rasmi kila mtu ataongea kwa uangalifu..

  Hayo fanyeni nyinyi viongozi wa cdm na cuf

  Sisi na jf tuacheni tuongee tupendavyo ndiyo raha ya forum..
   
 19. N

  Nonda JF-Expert Member

  #19
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Mkuu,

  Nimekuelewa.........JF uwanja wa fujo au vipi!!???
  Hasa kama mambo ni kama haya.

   
 20. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #20
  Jan 1, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CUF inatafuta platform, they are divided ndio maana walikimbilia viti vya chadema bungeni wakati dai la chadema kimsingi ni lile lile wanalokimbilia kuaandaa maandamano. Swali je imebadilika sasa, mbona haijasema kwa umma au haikuwaelewa chadema. Duniani hamna impact kama aliyopewa kikwete, maandamano ni rahisi kuyatafutia sababu, ila hata hiizi mbio za JK kushughulikia katiba imetokana na hilo, wafadhili walimwambia mzee nchi imeoza kumbe uliiba kura sababu ya tume akajiuma akawaahidi kutoa katiba hana jinsi sio uhuni wa CUF na polisi. Wanalitafuta ila naamini ni ngumu mtatiro anatafuta record ya kuanzia ila sidhani kama itasaidia. Niseme itikadi ya CUF na CCM ni moja na tofauti na chadema chama mbadala ambacho badala ya kutumia nguvu wanatumia akili zaidi
   
Loading...