Hizo keki zinakaba roho
haina mbwembwe hiyo
Walioleta hiyo idea walikosea sana. Wangeweka ndizi mbivu au kiazi kikuu, vitu asilia kabisa. Huo mkate atapanuaje huo mdomo silesi iingie yote jamani? Menya ndizi, mvunjie mwenzio kidogo, ilobaki naye akuvunjie. Mmelishana keki. Pasua kiazi kikuu vipande vidogo vidogo, milishane na baki walishe wahusika wengine. Sio kulishana masukari na magadi soda
Hizi ndizo ndoa za kiukweli na zinadumu si hizi za kidotikom....maigizo tu kisa mtu kaona Beyonce kafunga ndoa basi watataka kulazimisha kuuza unga na kupiga dili za kijinga ili tu kufurahisha mwanamke apate kuonekana kwa wenzake kuwa kaachana na ukahaba sasa kapata mtu wa kweli.
hata boga ingependeza pia we unasemaje?