Mwisho wa siku maharusi wanambulia nini kama siyo vigelegele vya shangazi zao!?Ziko harusi mimi nikiwa mwanakamati, japo mie sinywi ulabu lakini vikao vyote vilikua vinafanyikia Bar, coz majority ya members ni wapombekaji, kila J'1 ndy ilikua kikao, mikuku choma, mimbuzichoma, mibia, misoda na expesis ya ukumbi, 1.m na ushee ilikua inasagariswa @ wiki .
Dekia maneno hiyo .
Sasa kwenye kamati ikifika wakati wa kuchagua Mpishi, Mpambaji na kamati ndogo ya vinywaji, hapo huwa BALAA!!Mie nadhan ifike mahala kuwe na kampun za kuandaa haruc,iwe inatoa service kwa viwango mbalimbali kulingana na uwezo wa mahac,inakua mtu akishalipa hela ya watu siku ya haruc waliochangia na ndugu tunakutana ukumbin hakuna cha kamati wala nn,kwenye kamati uchakachuz haukwepeki!
Sasa kwenye kamati ikifika wakati wa kuchagua Mpishi, Mpambaji na kamati ndogo ya vinywaji, hapo huwa BALAA!!
Halafu siku hizi wanakamati wanataka wanafamlia ya Bwana Harusi mtarajiwa ndiyo mchangishe pesa wao kazi yao ni kutengeneza Bajeti na kusimamia matumizi ya pesa mlizo kusanya. Kimbe kimbe siku ya kuvunja kamati lazima wanafamilia mshambuliwe kwa kutotimiza jambo fulani, hiyo ni LAZIMA!!Alafu ukija kuwachunguza utaku wote wana uswaiba fulan hapo ndio kasheshe kwan mmoja akitoa idear inapata sapot ya wote!
Haya mambo ya kuchangishwa laki kwa harusi halafu wanandugu msiwe watunza hela iko siku ukumbini patachimbika!!ukitaka harusi iende vyema mawili 1. Mzazi/ndugu yako wa karibu au wewe mwenyewe uwe mweka hazina.
Uingie mtaani kutafuta kumbi n.k
ukiiachia kamati watakuchakachua.
Kwenye vikao si kila kikao unazungusha round, pitisheni uchakavu
Haya mambo ya kuchangishwa laki kwa harusi halafu wanandugu msiwe watunza hela iko siku ukumbini patachimbika!!
Mie nadhan ifike mahala kuwe na kampun za kuandaa haruc,iwe inatoa service kwa viwango mbalimbali kulingana na uwezo wa mahac,inakua mtu akishalipa hela ya watu siku ya haruc waliochangia na ndugu tunakutana ukumbin hakuna cha kamati wala nn,kwenye kamati uchakachuz haukwepeki!
Kichekesho sana, watu wanafanya harusi ya gharama afu baada ya harusi wanaenda kupanga nyumba uswahilini lol.
Kuepusha gharama zisizo za lazima, bora kwenda kanisani na kufunga ndoa yenu then mkitoka mnafanya family party, hapa hakuna gharama kabisa.
Haya mambo ya kuchangishwa laki kwa harusi halafu wanandugu msiwe watunza hela iko siku ukumbini patachimbika!!
Ziko harusi mimi nikiwa mwanakamati, japo mie sinywi ulabu lakini vikao vyote vilikua vinafanyikia Bar, coz majority ya members ni wapombekaji, kila J'1 ndy ilikua kikao, mikuku choma, mimbuzichoma, mibia, misoda na expesis ya ukumbi, 1.m na ushee ilikua inasagariswa @ wiki .
Dekia maneno hiyo .