Harusi ya kiwango

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
11,897
Reaction score
6,933


Hakuna sababu ya kuingia gharama zisizo za lazima wakati uwezo wako na nafasi yako inakuruhusu kiwango hiki, hapajaharibika neno maana kila hali imeonyesha kukidhi hadhi.
 
mnapenda kumchokoza Faiza akiwajibu mnafura!
 
Hii nitai-apply kwenye harusi ya kijana wangu siku ikifika Mungu akinijalia uzima.
 
jamaaa ni mkulima... Walipendeza na kilimo kwanza yao but huku kwetu hata deva tax atataka akodiwe benz shit!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
duh hii ni sawa gharama zingine si lazima
 
umeona hilo trecta lilivyo pouwa njoo tz
yale wanayojidai ni matila power sijui kilimo kwanza
blablablaaaa mabovuuu



jamaaa ni mkulima... Walipendeza na kilimo kwanza yao but huku kwetu hata deva tax atataka akodiwe benz shit!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…