Harusi ya kiislamu inaweza gharimu shilingi ngapi?

Harusi ya kiislamu inaweza gharimu shilingi ngapi?

madam shamim

Member
Joined
Mar 10, 2017
Posts
9
Reaction score
2
Hallo....

Naombeni msaada jamani kwa wenye experience na hizi mambo,

Kufanya harusi ya kiislam nzuri na simple yenye watu 150 inaweza gharimu bei gani usawa huu
 
Hallo....naombeni msaada jamani kwa wenye experience na hizi mambo....kufanya harusi ya kiislam nzur na simple yenye watu 150 inaweza gharimu bei gan usawa huu
Unataka kuwafurahisha watu alafu mnaingia ndani hakuna chumvi wala sukari?
 
Nunua bofro tu na chai ..
ismail.jamadi-20181201-0001.jpeg
 
Wala sina mpango wa kuwafurahisha shubaamit zao 😂😂😂😂nsije kosa msos kwangi
 
Acha misifa itakayo kufilisi din yetu nyepes piga ndoa ya mkeka watu 10 chakula ni kashata na kahawa kazi imeisha

Best wishes mkuu over
 
Ukumbini au nyumbani?
Sisi tumetoka kumfanyia binti yetu imegharimu 3M ilikua ukumbuni na ilinoga!
 
Back
Top Bottom