khaliciouz
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 579
- 212
GIRL: Baby, hebu niambie harusi yetu itakuwaje?
BOY: Yaani hii haijawahi kushuhudiwa, ngoja nikupe
kionjo kidogo tu
GIRL: Enhee.
BOY: Kwanza siku ya kupeleka mahari nitaswaga zizi
zima la ng'ombe napeleka kwa babu yako
GIRL: Ooh baby u care.
BOY: Siyo hivyo tu, baba yako ntamnunulia Range
Rover Sport na mama mkwe nitampa Range Rover
Evoque.
GIRL: Baby u are awesome.
BOY: Halafu mdogo wako wa kiume ntampa Prado
Tx, na hapo nimesukutua tu mdomo sijaanza kula.
GIRL: Enhee na sisi?
BOY: Sisi tutachukua mtaa mzima Oysterbay, kila,
wiki tutaishi nyumba tofauti.
Halafu siku ya harusi yetu tutakodi zile meli zinabeba
makontena ndiyo iwe ukumbi wetu, itatupeleka hadi.
Maldives.
GIRL: Baby I love you
BOY: Tukitoka hapo tunaenda honeymoon.
Bahamas halafu tunaenda Taiwan shopping ya.
fenicha, kisha Japan shopping ua electronics, halafu.
tunaenda Dubai nikununulie vito vya thamani.
GIRL: Ooh my sweetheart halafu tukitoka huko?
BOY: Tukitoka huko nachukua ndoo ya maji.
nakumwagia uzinduke usingizini na ndoto yako
imeishia hapo.