Ashura9
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 740
- 485
GIRL: Baby, hebu niambie harusi yetu
itakuwaje?
BOY: Yaani hii haijawahi kushuhudiwa, ngoja
nikupe kionjo kidogo tu
GIRL: Enhee...
BOY: Kwanza siku ya kupeleka mahari nitaswaga
zizi zima la ng'ombe napeleka kwa babu yako
GIRL: Ooh baby u care..
BOY: Siyo hivyo tu, baba yako ntamnunulia
Range Rover Sport na mama mkwe ntampa
Range Rover Evoque
GIRL: Baby u are awesome...
BOY: Halafu mdogo wako wa kiume ntampa
Prado Tx, na hapo nimesukutua tu mdomo
sijaanza kula....
GIRL: Enhee...na sisi??
BOY: Sisi tutachukua mtaa mzima Oysterbay,
kila
wiki tutaishi nyumba tofauti
Halafu siku ya harusi yetu tutakodi zile meli
zinabeba makontena ndiyo iwe ukumbi wetu,
itatupeleka hadi Maldives
GIRL: Baby I love you
BOY: Tukitoka hapo tunaenda honeymoon
Bahamas....halafu tunaenda Taiwan shopping
ya
fenicha, kisha Japan shopping ya electronics,
halafu tunaenda Dubai nikununulie vito vya
thamani
GIRL: Ooh my sweetheart...halafu tukitoka
huko??
BOY: Tukitoka huko nachukua ndoo ya maji
nakumwagia uzinduke usingizini na ndoto yako
imeishia hapo.